Ndetirima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,008
- 784
Hapana Mkuu. This is not her unless something extraordinary happened in the last few minutes. Hata ile thread ya "SAFARI za rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005!" nae kapost kule? Hii nayo inasifu Chadema? Mbaya ni kwamba jamaa anakopi links za humu JF na kupost kwenye account. Huyo mtu ataishia kukopi mpaka thread za jukwaa la wakubwa na kuwe kwenye account yake. Noma for JF.
Huyo ni mwenyewe anaonekana anaipenda Chadema toka siku nyingi, na ana haki ya kukipenda Chama chochote cha siasa labda kama Katiba hairuhusu Mke wa Rais kuwa Chama tofauti mtueleze ni kifungu kipi nadani ya Katiba. Kama sio yeye anatakiwa yeye mwenyewe aseme sio mtu mwingine yeyote, wala sio Ikulu hayo ni mambo yake binafsi.