Halafu how come anatumia password moja kwenye accounts zote mbili?
Anaweza kuwa na pasiwedi moja kwa zote....lets say salmajakaya ama abc123 :eyebrows::eyebrows::eyebrows:
Halafu how come anatumia password moja kwenye accounts zote mbili?
Yaani mkuu inaonekana ajila ya Slva Rweyemamu unaitamani kwa udi na uvumba, kwa ufupi nakushauri usiangaike kabisa kuhusu swala hilo, kama wana uwezo wa kuwalipa vijana wanaokesha hapa JF kuvuruga mijadala ya maana ni kwa nini wasiajili vijana wengine kama hao kwa ajili ya kufuatilia vitu mitandaoni?
kuna page ilikuwa created..akatumiwa kwenye akaunt yake...page ile ilimtaka aweke user name na password ili aweze kuona kilichomo..yeye akaweka user name na password na hapo hapo credentials hizi zikaenda kwa hacker....na hivyo kupata access ya fb yake
Inawezekana b'se nafikiri Mkuu Sharobaro aliwahi kunzisha thread juu ya hii kitu.
Accounts za Mama Salma Kikwete Facebook na Twitter zinapost mambo ya kuifagilia Chadema tuu kwa sasa. Inaonekena kama zimekuwa hacked. Wenye access nae wamtaarifu. This is not good.
Account ya Facebook: Mama Salma Kikwete - Wall | Facebook
Account ya Twitter: https://twitter.com/#!/salmakikwete
Mama Salma kikwete iweje akisifu Chadema wakati mume wake ni kiongozi wa chama kingine? iweje wewe Mvua ikikunyeshea waweza kuisifu Mvua ya leo jamani ni nzuri? iweje wewe ukawa Mpenzi wa klabu ya Simba wakati Mke wako mpenzi wa Yanga? Je siku timu yako ya Simba ikiifunga timu ya Mke wako Yanga je usiku wake atakupa mke wako unyumba?
Mkuuu EMT baaada ya kugundua hivyo ume
- wanotify FB kuwa kuna misuse ya accoount ?
- wanotify may be ikulu au Polisi au Issa Michuziau muhuiska yeyote wa Tanzania wachukue hatua za haraka.?
Kwa vile feed link nyingi zilizokuwa posted kwenye account yake zinatoka JF, nimewataarifu Mods, hope watakuwa wamewatonya. Kwenye Twitter, account ikiwa hacked Twitter wanaisuspend na kukufamisha mapema kwa email. Tatizo la hackers, wakisha hack account wanapost so many posts in seconds which alert the system that it could be spamming and suspend the account automatically. Hata hapa JF ilikuwa ukipost more than one post within 30 seconds unaambiwa usubiri after 3o seconds.
Kwahiyo link nyingi zingekua zinatokea let say globalpublishers ungewataarifu globalpublishers badala ya huyo mwenye account ya uso kitabu ,ambayo ndio ubaamini imekua compromised?
Nimekusoma EMT, ila sasa isifanywe/eleweke kwamba JF wanaresponsibility ya kuwajulisha hata kama link wazopost ni za JF kwasababu sio kazi ya JF kulinda acc za watu nje ya JF.Yes, ningewafahamisha wao. Kwa sababu wenye accounts wangeweza kudhani kuwa Global publishers ndio wamehack na kuweka feed links zao. So, kama ni wao wamehack then wasichukue hatua, kama sio wao watafute jinsi ku deal na hiyo situation. Ni vizuri zaidi kama wenye hizo feed links for their own interests wakawasiliana na wenye accounts na kuwataarifu hasa kama mtu mwenye ni First Lady na natoka instutition kama Ikulu.
Halafu kwa vile wao ni organisation wanaweza kuwasiliana na wenye hizo account kiurahisi. Ipi bora: Globalpublisher wawapigie simu Ikulu kuwa accounts zao zimekuwa hacked au mimi? Kama ingekuwa account ya Lizzy may be lakini account ya First Lady (sio yule wa JF)? LOL. Kama JF wakiwasiliana na wenye accounts na kuwajulisha kuwa accounts zao zimekuwa hacked na feed links za JF zimekuwa published kwenye account zao ni much better kuliko mimi binafisi kuwasiliana na Ikulu. I believe inasaidia zaidi kuondoa any perception kuwa JF ina connection zozote na hacker.
At the end of the day, it is all about maintaining good relationship between organisations (JF and Ikulu). Pia kumbuka hii sio mara ya kwanza kwa accounts za watu wa Ikulu kuwa hacked. Probably, the best way could have been to report the matter to the police, but thought kwa vile ilishatokea tena, Mods knew how to deal with it. Still Ikulu haven't put their act together.
Kwanza Michelle Obama ndo S.I.Unit ya ubora wa malezi?
Pili, hapa hatuzungumzii watoto wa Salma Kikwete, tunazungumzia account ya Salma, Michelle nae hana?
Nimekusoma EMT, ila sasa isifanywe/eleweke kwamba JF wanaresponsibility ya kuwajulisha hata kama link wazopost ni za JF kwasababu sio kazi ya JF kulinda acc za watu nje ya JF.
Hao nao wawe waangalifu. . . .
I............BTW naona bado hacker anapost hiyo account.
Mods hii haijakaa vizuri. Kuna mtu sijui amehack accounts ya Mama Salima Kikwete Facebook na Twitter halafu anapost links za threads za JF zizomkandia Rais (mume wake) na zile zinazoifagilia Chadema. Mods needs to inform Ikulu mawasiliano.
Gaijin roughly kwa siku huwa unauliza maswali mangapi hapa JF? LOL
Ndio maana nikauliza kwa nini umesema 'noma for JF'? Kwa nini iwe noma for JF kwa account ya mama salma kuwa hacked? Kwa ninavyoelewa matumizi ya hivyo phrase mara nyingi ikitumika inaashiria 'implication' fulani hivi. Ni hilo tu mkuu!...Wapi nimesema JF inaweza kuwa held responsible? Yaani kusema for noma for JF ndio umetafsiri kuwa it can be held responsible?
Labda hatujaelewana tu mkuu. Sina maana ya kuingia na kupost. Kusema 'open to the public' nilikuwa na maana kwamba mtu anaweza kusoma/kuona alichoandika na posibly ku hack....na ndio maana hata wewe umeweza kujua kuwa likely account yake imekuwa hacked. Kama ilivyo mtu yoyote anavyoweza kusoma kitu ambacho SMU au EMT amepost hapa JF (save for some few forums). Lakini msingi wa hili ulikuwa kujaribu kuondoa dhana kwamba kuna 'implication' kwa JF. So huyo hacker anaweza kuchukua chochote JF (au/na kwengineko) na kupost huko kwa Salma na hilo peke yake halitoshi kui-implicate JF.Mkuu accounts kuwa open to the public haina maana kuwa any member of the public can log in the accounts and make postings. Account yako hapa JF iko open to the public?
Sikusema kuwa JF wako responsible kuwajulisha. Pia mimi siko responsible kuwajukulisha. Nobody is responsible. Lakini hakuna ubaya wowote kuwafahamisha wenye account kuwa it has been hacked.
BTW naona bado hacker anapost hiyo account.