...At the end of the day, it is all about maintaining good relationship between organisations (JF and Ikulu).
Hivi mtu akianzisha facebook account inayo pause kama ya Salma Kikwete wakati si yeye, bado tunasema account imekuwa "hacked"? Tunajuaje hiyo account ilikuwa ni ya the real Mama Kikwete in the first place?
By the way EMT, point yako ya kutaka Jamii Forum iwe ina maintain good relationship na Ikulu is absolutely ridiculous. Jamii Forums ni the most hard-nosed government watchdog in Tanzanian cyberspace, and needs to stay that way, hapa tuna leak documents za serikali, tunai lambast Ikulu, tuna instigate and inform on rallies kuwapinga Ikulu occupiers, likewise serikali inai target Jamii Forums, Invisible na Mushi washakuwa detained na serikali, ni adversarial relationship mwanzo mwisho, hakuna cha kuomba undugu na Ikulu hapa, get a grip on that.
Ndio maana nikauliza kwa nini umesema 'noma for JF'? Kwa nini iwe noma for JF kwa account ya mama salma kuwa hacked? Kwa ninavyoelewa matumizi ya hivyo phrase mara nyingi ikitumika inaashiria 'implication' fulani hivi. Ni hilo tu mkuu!
Labda hatujaelewana tu mkuu. Sina maana ya kuingia na kupost. Kusema 'open to the public' nilikuwa na maana kwamba mtu anaweza kusoma/kuona alichoandika na posibly ku hack....na ndio maana hata wewe umeweza kujua kuwa likely account yake imekuwa hacked. Kama ilivyo mtu yoyote anavyoweza kusoma kitu ambacho SMU au EMT amepost hapa JF (save for some few forums). Lakini msingi wa hili ulikuwa kujaribu kuondoa dhana kwamba kuna 'implication' kwa JF. So huyo hacker anaweza kuchukua chochote JF (au/na kwengineko) na kupost huko kwa Salma na hilo peke yake halitoshi kui-implicate JF.
Huyo mtu siyo ka hack accaount ila yeye kafungua account kwa jina la mama salma Kikwete ndo tatizo facebook unawezakufungua account hata kumi in same name!Ni kweli mimi pia nimezichungulia inaonyesha kuna mtu amei Hacker hiyo Account ya Facebook ya Mama salma Kikwete au kuna mtu anajifanya yeye ni mama Salma kikwete ili kumuharibia mkuu wa Nchi jina lake itabidi Wahusika walifuatilie hilo suala ikiwezekana wamtaarifu Facebook founder aizuie hiyo Account nawasilisha mimi hivyo.
Huyo mtu siyo ka hack accaount ila yeye kafungua account kwa jina la mama salma Kikwete ndo tatizo facebook unawezakufungua account hata kumi in same name!
Huyo mtu siyo ka hack accaount ila yeye kafungua account kwa jina la mama salma Kikwete ndo tatizo facebook unawezakufungua account hata kumi in same name!