Mama Salma kikwete ni nani katika Baraza la Mawaziri?

Kwani ni lazima pesa ya kuendea nje iwe ya mlipa kodi wa Tanzania, Mbona mimi nimeenda nje zaidi ya mara 4 tena kwa shughuli za umma siyo binafsi na sijatumia kodi za wananchi. Tafuta data pengine waliomwalika wamemlipia je?.

After all kwani amesharudi ziara yake ya Lindi na Mtwara, anachapa kazi sana huyu mama
kwa kimakonde tunaweza kumwita "mkongwe mnume".

Huyu anatafutia watu ban, sichangii thread hii, ngoja nitafute thread nyingine maana sintoweza kuzidhibiti hasira zangu juu ya ufisadi huu. nakumbuka juzi juzi mugabe mpaka wafanyakazi wa ndani ya ndege walimnunia kutokana na kusafiri na kundi kubwa la watu.
 
jamani mama anapenda wapambe siunaelewa waswahili lazima wakae chini kwa umbea ndo maana lazima awe na wapambe angalau 18 habari ndio hiyo

Ili wamsaidie kwenye mawasiliano si unajua tena lugha inaweza ikamgonga. hahahahahahahahah. lakini huyu mama anapenda sana trip si mnakumbuka hata kipindi kile alikwenda Swazi kushuhudia Mfalma akioa kisichana sijui kilikuwa ni mke wa ngapi hadi TAMWA walimponda hadharani kwa kuhudhuria unyanyasaji huo.
 
hata ukiiondoa sisiem hao utakao waweka wenye njaa hawatakuwa na wake? mbona tulimnyima Lipumba siku zile tukidai kuwa hana mke hata akamwonyesha jojina? Tatizo ni kuwa ktk katiba tumesahau kuwawekea majukumu ya uzalishaji as a result wamekaa tu hawana la kufanya. Hiyo lanchi yaweza kuwa ni discussion ya migodi yetu. Fungueni macho. Gharama zitalipwa kwa vifo vya wana Geita mhhh sijui.
 
Ipo haja ya kuingiza katika katiba mpya kipengele cha kuwadhibiti wana familia wa watakaokuwa marais siku zijazo kwani tumeshapata funzo kubwa toka kwa wake wa marais wawili wa mwisho yaani Mkapa na Kikwete. Mke wa Mkapa alikuwa mchoraji mkubwa wa njama za ufisadi na yaelekea ndiye aliyemshawishi mumewe kulihujumu taifa kwa ufisadi wa kutisha katika awamu yake ya mwisho ya uongozi na huyu wa Kikwete amekuwa mwiba kwa taifa tangu katika awamu ya kwanza ya Rais huyu ambapo amekuwa akitumial ovyo rasilimali za taifa kwa kile klichojulikana kama kumfanyia kampeni mumewe.
Tulishuhudia jinsi alivyotumia mali na amali za serikali katika zoezi lake hilo la kufuja fedha za walipa kodi bila hata Msajili wa vyama wala Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi kumkemea. Tulishuhudia jinsi alivyotumia magari ya Usalama wa Taifa na ndege za serikali kumtembeza kinyume kabisa na sheria. Tunaamini serikali makini itakapoingia madarakani 2015 au hata mwaka gani iitishe uchunguzi na kuchukua hatua kwa uharibifu huu.
 
Hahaha JF! 1st lady anakula bata mnachonga! Je mngepata kujua japo nusu ya matumizi ya 2nd to 20th ladies kutoka kwenye fuko la walipakodi si mngelipua makazi ya Muungwana?
 
mke wa Raisi ni sehemu ya utawala wa Raisi si hitaji swali wala jibu katika hili Ovaaaaaa
 
Maria mama wa yesu umejaa neema,umebarikiwa kuliko wanawake wote na mzaliwa wq tumbo lako amebarikiwa,utuombee sisi wakosaji tunaochimba safari za mama salma,aliyebarikiwa kuliko wanawake wote tanzania(2005-2015) sasa na hadi saa ya kifo chetu!
 
Mshauri mkuu wa Chief. A.k.a Raisi Kivuli. Kwani hujii.... First Lady (sina tasfiri fasaha ya Kiswahili).
 
Huyu mama ni mwenyekiti wa wama ambayo pia inapata misaada toka kwa wahisani wengi tu
Jee itakuwa ajabu akialikwa nje? Pengine amealikwa kutokana na utekelezaji wake mzuri wa hiyo wama/
Kabla kukurupuka na kuandika utumbo pengine ingekuwa busara kudodosa kuw jee amekwenda kule kwa wadhfa upi?
Kufanya nini? Nani analipa gharama za usafiri na malazi?
Tumejaaliwa mbongo basi tuzitumie jamani vinginevyo tutaendelea kuwa vilaza kwa kuzungumzia tuhuma zisizo na mishiko
 
mijitu mingne bwana inasfia ujinga eti amebarikiwa mama samula amebrikiwa kwako kisa unamegwa na kina riz zo unashobokea u mbwa kiwete namkewe wezi 2 ila ipo day watajua kuwa jasho lam2 haliliwi kisenge xenge 2tawapokonya vyote au 2tachma moto mwakani
 
Kawaida yao wote,wamefiwaa na miguu ya mbwaa kwenye mabegaa kwa wasukumaa mtanielewaaaa
 
Kila mtu ana wakati wao ...mwenzenu kashaupata u first lady ...





Hata angekuwa huyu angefanya hivyo hivyo



Vurugu+Chadema-Mke+Slaa.jpg
 
Back
Top Bottom