Mama Salma kikwete ni nani katika Baraza la Mawaziri?

Chamkoroma

Senior Member
Sep 6, 2010
186
11
Jamani mtanisamehe kuuliza huku si ujinga kwani hata Museven alimuweka mkewe katika baraza la waziri, nasema hivi nikwasababu, hapa ninaposema ameondoka TZ kwenda Marekani kwasababu amealikwa Lunch ktk mji mmoja huko, akiwa na ujumbe wa watu 18, wakisafiri na EK 725 tokea Dar toDubai nakuunganisha kwenda Marekani kwa shughuri hiyo, najua baadhi mtasema ni majungu, lkn ukweli nchi ya Wadanganyika inaliwa mpaka baadhi ya viongozi wanasikitika kwa kitendo cha huyu mama kutumia mabilioni ya wananchi, wandugu shughuli km hizi hata kama zinaweza leta kitu kidogo au watu wakale husema kiasi cha mboga, lkn matumizi yake ni makubwa sana, inauma kuona watu wanaopinga ufisadi wanakuwa wakwanza kuchakachua ukweli huo, nashindwa kuelewa kwani angemtuma mke wa balozi wetu aliyeko UNO asingemuakilsha? km tu inahitajika mwanamke lkn hata balozi wa TZ US au huyo wa UNO wanatosha sn kumaliza mambo kuliko kwenda kwa ajili ya Lunch, inaonyesha kunabaadhi ya watu, wangepewa sh. 1m ya lunch wangelalamika nakusema haitoshi, lkn dogo 1st moth of the yr akazitolea nje, jamani tusipopiga kelele kuupinga huu usanii wa kifisadi kweli TZ itaendelea kuteketea.
nawakilisha.
 
Ndio maana kelele za kujivua gamba sijataka kuzisikiliza kwasababu naelewa ujinga kama huo ndio sababu za kukwama kwa haka kanchi,....Priority!!!
Kwahiyo hao watu wengine 18 ni delegate ya mama?
Usimamizi wa vipaumbele umewashinda serikali ya ccm, ni kutoka tu
 
Sasa ungejua kwanza maudhui ya safari na nani anagharamia, safari za 1st lady na matumizi yake ni sehemu ya budget ya Ikulu.
 
Inauma Sana kuona kodi na rasilimali zetu zinatumika kwa matumiz yasiyo na faida kwa nchi yetu.tusimame imara jamani sisiemu haitufai tena .tuing'oe 2015 kwani sababu tunazo,nia tunayo,na uwezo ni kura yako ya hapana kwao.
 
Wanaomsindikiza wanapata sii chini ya dola 20,000 x 18 nyie endeleeni kubwabwaja wenzenu wakiitafuna nchi hawajali hawatikisiki
 
Mwenye data kamili aweke, najua baada ya siku mbili utayona magazetini na tusubiri serikari ijibu
 
Mwenye data kamili aweke, najua baada ya siku mbili utayona magazetini na tusubiri serikari ijibu

Kwani ni lazima pesa ya kuendea nje iwe ya mlipa kodi wa Tanzania, Mbona mimi nimeenda nje zaidi ya mara 4 tena kwa shughuli za umma siyo binafsi na sijatumia kodi za wananchi. Tafuta data pengine waliomwalika wamemlipia je?.

After all kwani amesharudi ziara yake ya Lindi na Mtwara, anachapa kazi sana huyu mama
kwa kimakonde tunaweza kumwita "mkongwe mnume".
 
Kwani ni lazima pesa ya kuendea nje iwe ya mlipa kodi wa Tanzania, Mbona mimi nimeenda nje zaidi ya mara 4 tena kwa shughuli za umma siyo binafsi na sijatumia kodi za wananchi. Tafuta data pengine waliomwalika wamemlipia je?.

After all kwani amesharudi ziara yake ya Lindi na Mtwara, anachapa kazi sana huyu mama
kwa kimakonde tunaweza kumwita "mkongwe mnume".

Asanta msemaji wa ofisi ya WAMA.
 
Duh!.. Hoja nzuri Chamkoroma, Ila kwanza ningependa kujua nafasi ya mke wa Raisi katika uongozi wa nchi!.. Kama kuna anayezijua amwage hapa!..
 
jamani mama anapenda wapambe siunaelewa waswahili lazima wakae chini kwa umbea ndo maana lazima awe na wapambe angalau 18 habari ndio hiyo
 
Back
Top Bottom