Mama Nyerere akataa kupanda miti

Mama Nyerere akataa kupanda miti

mimitungi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
738
Reaction score
261
"Sawa kupanda miti na kufanya usafi si jambo la msingi, napenda tukae na kuzungumza tufanye nini Kwa ajili ya taifa letu".
Source: Mtanzania gazeti

My take:UV CCM walidhani wangetuliza mzuka wa Mama aache kuzungumzia mambo ya maana Kwa taifa na kujikita kupanda miti sijui Nia ilikuwa kumchosha lakini aliwashtukia na kuwapa za uso live.
 
Uvccm ni genge la vijana wa ccm wanaolamba viatu vya mafisadi! Hongera mama maria kwa kuwashitukia hawa walamba viatu vya mafisadi!
 
Genge la Kinana, Membe, Sitta, Nape...

Walifikiri wataweza kuendelea kutumia trivials kuhamisha wananchi kwenye masuala ya msingi ya Rasimu ya Katiba Mpya na ufisadi unaozidi kuiandama serikali iliyochoka.

Ni kama vile Mama Maria kawaambia magamba ndiyo yameifikisha nchi hapa ilipo.

Ni bahati mbaya tu vijana wale hawana soni kabisa. Sijui walipata wapi hata ujasiri wa kuendelea kuzungumza baada ya wakubwa zao kuwa wamepewa ukweli mchungu usiokuwa na nguo!
 
"Sawa kupanda miti na kufanya usafi si jambo la msingi, napenda tukae na kuzungumza tufanye nini Kwa ajili ya taifa letu".
Source: Mtanzania gazeti

My take:UV CCM walidhani wangetuliza mzuka wa Mama aache kuzungumzia mambo ya maana Kwa taifa na kujikita kupanda miti sijui Nia ilikuwa kumchosha lakini aliwashtukia na kuwapa za uso live.

Wala hawakwenda kufanya yote hayo unayofikiria, kule walikwenda kwa lengo la kutafuta sympathy ya wananchi, hasa baada ya kuona ule wimbo wao wa "waasisi kutukanwa" unakosa wachezaji wa maana. Kwa hiyoyule mama alikuwa ni sehemu ya propaganda kwa wananchi. Kwa hiyo walichokuwa wanataka wala siyo kupanda miti,ni kupiga picha na kufanya press conference na kutoa kauli za mama amesemaje, kuhusu "matusi kwa waasisi"

But nadhani kama wanafikiria ni wazi CCM ya sasa siyo ile ya Mwalimu. Na wala sidhani kama yule mama ana furaha nao. Trust me hata kwenye mikusanyiko mingi ambayo alitakiwa awepo, wala hutamwona. Kajikalia zake nyumbani, na kihoro rohoni, hajui aikatae CCM kwa ilivyooza, au afanye nini!
 
Hii ishu inabidi CCM waelewe walichoifanya hii nchi na kwa familia ya Baba wa taifa hakika laana itawaandama
 
Sijui kwanini CCM wamewekeza kwenye propaganda hadi kwenye zama hizi, mbona wana uwezo na nafasi ya kufanya mambo mazuri na makubwa kiasi wananchi wakajenga imani nao vyakutoshaaa
 
Hii ishu inabidi CCM waelewe walichoifanya hii nchi na kwa familia ya Baba wa taifa hakika laana itawaandama

UVCCM ni kikundi cha wahuni na waganga njaa, hawa msaada wowote kwa taifa hili zaidi ya kulamba miguu ya magamba makubwa zao kina kinana na nape.
 
Sijui kwanini CCM wamewekeza kwenye propaganda hadi kwenye zama hizi, mbona wana uwezo na nafasi ya kufanya mambo mazuri na makubwa kiasi wananchi wakajenga imani nao vyakutoshaaa

Upofu ni mbaya sana. Hakuna mtu wa kuwaonesha.
 
Hii ishu inabidi CCM waelewe walichoifanya hii nchi na kwa familia ya Baba wa taifa hakika laana itawaandama

Wanatafuta kinga Kwa waasisi huku wakisahau Kuwa wanaenda kinyume na kile waasisi waliamini na kutenda.
 
Eti vijana wazalendo wenyewe ni kina Paulo Makonda! Kweli CCM inajiua kwa mikono yake yenyewe

Sent from my iPad using JamiiForums
 
[/QUOTE]"Sawa kupanda miti na kufanya usafi ni jambo la msingi, napenda tukae na kuzungumza tufanye nini Kwa ajili ya taifa letu".[/QUOTE]

Kauli hii inadhihirisha kiwango cha busara alichonacho mama Maria Nyerere.

Mods, hifadhi hii.
 
MSALANI wapi? Au off leo?

Nilipishana nae akiingia MSALANI,,Vuteni subira sasa hivi ataanza kutoa povu humu akishamaliza kukata gogo,Mwenzie Lizabon kazidiwa na viroba kule Bar flani hivi akizinduka utashuhudia mashudu yake hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom