usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,725
- 1,194
Makonda alikuwa mtu wa MUNGU sijui nini kimemkumba.
"Sawa kupanda miti na kufanya usafi si jambo la msingi, napenda tukae na kuzungumza tufanye nini Kwa ajili ya taifa letu".
Source: Mtanzania gazeti
My take:UV CCM walidhani wangetuliza mzuka wa Mama aache kuzungumzia mambo ya maana Kwa taifa na kujikita kupanda miti sijui Nia ilikuwa kumchosha lakini aliwashtukia na kuwapa za uso live.