vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,853
- 2,270
mbona siwaoni watoto wa interahamwe kwenye thread hii au bado wako lumumba
Hao Interahamwe huwezi kuwaona leo kwani hakuna mtu wa kuwalipa ofisini ....
Leo hakuna kazi Lumumba
By Admin
mbona siwaoni watoto wa interahamwe kwenye thread hii au bado wako lumumba
yako pending yanalamba kitu ya shyonzya,yakirudi utaona tu,yote yana akili za mende.
Sijui kwanini CCM wamewekeza kwenye propaganda hadi kwenye zama hizi, mbona wana uwezo na nafasi ya kufanya mambo mazuri na makubwa kiasi wananchi wakajenga imani nao vyakutoshaaa