Pole sana.. Ila unavyosema nlijua mmefika hospitali kubwa..mjitahidi basi muende hospitali kubwa kuna vipimo zaidi hasa vya mishipa ya damu ya miguuni dopple ultasound na hata angiogramx .... Unaweza kukuta amepata DVT (periferal arterial desease) maana minor injury kama kuchomwa na kitu inaweza kusababisha ukakuta akipata clopidogel, cumadin( warfarin) na matibabu mengine mambo yanakua mazuri .. Muhimbili wanafanya na pia ni vzr aonane na specialist.. Pole sana try to do the needful miss strong