Mama ni mama: Kwanini baba asihusishwe?

Mama ni mama: Kwanini baba asihusishwe?

hakuna kama mama jamani, mama ni mama tu.
Elimu ya mamaa, haina ada wala cheki, ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu.
Si maneno yangu bali ni maneno ya mwanaume mwenzio christian bella.

Uuuuwiiiii.. . yuko sokoni yule
 
*upendo* sina hakika sana na neno hili litumikavyo. Anyway km ni kumwinua toka bondeni it is okey. Ningependa zaidi km wangeanza na kauli kuwa tumtambue mama na umuhim wake ktk jamii. Wengi wanafanya vzr kwa mengi.
Ila baba asibezwe pia.

Baba hajabezwa anajulikana enzi toka enzi umuhimu wake,responsible man akionekana tu haihitaji maelezo mengi kumjua kwamba yeye ni baba,lakini si kwa mwanamke mchango wake unakuwa hauthaminiwi kana kwamba ni wajibu wake alizaliwa kuyatenda hayo,mara nyingi amechukuliwa kama chombo dhaifu. Wote ni wa muhimu baba na mama,lakini ni muhimu zaidi pia jamii kuutambua umuhimu wa mama katika familia na si baba peke yake.
 
Mama ni msaidizi. Sasa muambieni baba amkumbuke msaidizi na sio watoto
 
Mama ni msaidizi. Sasa muambieni baba amkumbuke msaidizi na sio watoto

Kusema mama ni mama hakuna kama mama haimanishi wanaambiwa watoto pekeyake,huu ni ujumbe kwa jamii nzima awe baba mtoto na hata mama mwenyewe,na hii sentensi ni ngumu kueleweka hata kwa mwanamke mwenyewe ni mpaka siku atakayokuwa mama ndo ataielewa ina maanisha nini,hata wanaume ambao ni responsible huielewa hii sentensi akishaoa. Mama ni mama si kwaajili ya kumbeba tumboni mtoto wake miezi 9 kama wengi tunavyotafsiri,ina maana kubwa sana post yangu ya kwanza nimeielezea kwa kifupi,hakika hakuna kama mama,Mama ni Mama.
 
Back
Top Bottom