Mama Ngoma hospital wanatibu wagonjwa au wanafanya biashara?

Wadau, habari zenu bana? Mimi nina facts lukuki kuhusiana na Dr. Ngoma na washirika wake. Mnapolalamika mbona hatua za kisheria hazichukuliwi dhidi yao mnasahau kuwa hii serikali inaendeshwa kishkaji! Ukiwa unafahamiana na wakubwa, kama Dr. Ngoma alivyo kwa kutibu viongozi wengi ambao saratani ni ugonjwa common kwao, huwezi kuguswa na chombo chochote. Ndio maana Ngoma anapeta tu pale Ocean Road Cancer Institute tangu enzi za Mwalimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mpooooo au mnataka data zaidi? Msije mkawa kama serikali ya JK ambayo hadi leo bado haijapata ushahidi wa kuwashtaki watuhumiwa wa ununuzi wa rada!!!!
 
mmh, wakati ule JK ameanguka Jangwani kuna tetetsi kuwa alipelekwa kwanza kwa Mama Ngoma hospital kupumzika. Kama ni kweli itakuwa ni uthibitisho kuwa wanaelewana naye sana, hivyo hakuna wa kumtoa pale labda hadi 2015

hiyo hata mimi niliisikia mahali,sasa nadhani lina ukweli ndani yake
 
Wadau, habari zenu bana? Mimi nina facts lukuki kuhusiana na Dr. Ngoma na washirika wake. Mnapolalamika mbona hatua za kisheria hazichukuliwi dhidi yao mnasahau kuwa hii serikali inaendeshwa kishkaji! Ukiwa unafahamiana na wakubwa, kama Dr. Ngoma alivyo kwa kutibu viongozi wengi ambao saratani ni ugonjwa common kwao, huwezi kuguswa na chombo chochote. Ndio maana Ngoma anapeta tu pale Ocean Road Cancer Institute tangu enzi za Mwalimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mpooooo au mnataka data zaidi? Msije mkawa kama serikali ya JK ambayo hadi leo bado haijapata ushahidi wa kuwashtaki watuhumiwa wa ununuzi wa rada!!!!

hebu tupe data hizo ndugu maana nina uhakika kabisa wahusika wanasoma hii thread hata wasipochukua hatua lakini watagundua kuwa jamii inatanbua uovu wao,we are sick and tired of this ngoma
 
Natamani tungekua kama waarabu,unavaa bomu unatafuta wanaozngua unawalpua kwa maendeleo ya kizazi kjacho.
 
Wadau, hawa jamaa (Dr. Ngoma na Msemo) wana NGO moja inayofadhiliwa na Wamarekani. Walishawahi kughushi malipo ya waandishi wa habari (majina kapuni) pamoja na malipo mengi hewa yenye thamani ya zaidi ya $ 10,000. Cha ajabu kesi ile iliripotiwa TAKUKURU (Namba ya Jalada kapuni) ichunguzwa na wakaonekana kweli wana kesi ya kujibu. Sasa cha ajabu badala ya kupelekwa mahakamani kujibu kesi wakalipa hiyo hela na kesi ikapigwa chini. Hadi sasa wanaendelea kupeta na nyadhifa zao kana kwamba hakuna kilichotokea!

Wadau wa JF walio kwenye nafasi za maamuzi mpo? Au ndio milungula inawaziba macho msione? Au ndio mnasubiri ushahidi kama kawa kwa mujibu wa sera za serikali yenu ya sasa?
 
Ngoma ana account with billions of money standard Chartered sijui kwenye benki nyingine ! zote ni za wizi na dhuluma
 
Back
Top Bottom