Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,017
aisee,Pole sana!Naliliona ni hilo la kuwa na exact service na ile anayoisimamia, ni kweli kakaa sana ocean road, nafikiri its hight time vijana kama wakina Dr Julie Makani winner wa Pfizer award ya young african scientist 2011 waanze kuchukua madaraka haya makubwa, imefika wakati ngoma aende kusimamia hospitali yake kwa makini zaidi, Lingine ambalo hamalisema ni kwamba haweki wazi kwamba huduma yake ni ya kumfanya mgonjwa afe bila taabu sana yaani ni pallative care jambo ambalo nimejaribu kuangalia kwenye maandiko yote pale hospitali kwake sijaona kitu kama hicho. kwa hiyo anaibiwa wagonjwa kwa kuwapa matumaini potofu anapofika kwamba unaweza kupona, huku akijua kabisa ni terminal cases, familia zinaishia kufanya maamuzi ya jazba ya kulipa mamilioni ya pesa by the time wanajua wameliwa ni pale mgonjwa anapokua hoi kabisa ama pale anapofariki. Juu ya garama na kukosa utu kwenye huduma hili ni la kweli, walau watakujali ukiwa bado pale lakini moto utauona siku mgonjwa wako amefariki. Binafsi nililazimika kwenda lugalo mara mbili mbili baada ya watendaji wake kwa makusudi kuni mislead kwamba maiti ingepokelewa bila death certificate inayotolewa nao kwa kuwa nilikua nadaiwa shilingi laki mbili hii ni baada ya kuwa nimeshalazwa pale zaidi ya mwezi na tayari nimeshalipia zaidi ya 4m kwa matibabu na huduma laki mbili ziliwatoa roho wakati nilikua nawahisha maiti lugalo ikawekewe dawa nikasema kuna mtu atakuja kulipia hili deni kule lugalo huduma zinaishia sas saba basi nilifika mortuary lugalo naulizwa kitu ambacho nilishawakumbusha pale ngoma wakaniambia we nenda tu wanapokea, nikarudi nikawachamba sana na kuwaambia huo ni ushenzi na unafiki maiti ilibidi niiache nje pale lugalo kwa kuomba tu waombolezaji wengine waniangalialie mimi nimerudi kwa ngoma imagine jamani hata ulaya hawafanyi hivi wanasystem ya kuhakikisha kwamba watakufuatilia