min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,581
Kabsa mkuu ukisikia negative kila mara nguvu yako ya uvutano ina vuta hilo jambo utashangaa linakukumbaSiki hizi akili yangu haipendi kusoma wala kusikia kesi/mambo negative/ mambo ya kukera.....sijui ndo uzee [emoji849] nikisoma kidogo naacha hata nikikaa na watu wanaongea kesi kesi nawaacha naleft