Mama na mtoto wananipenda nifanyaje?

Mama na mtoto wananipenda nifanyaje?

Una nyota ya uzinzi bila shaka kwa maana haunaga jipya zaidi ya kupendwa,kuachwa na kufumaniwa.
 
Mimi ni msambazaji wa bidhaa kwenye supermarket mbalimbali nipo Arusha. Juzi katika kazi zangu nilipata mteja mpya ambaye ni mama mtu mzma mwenye supermarket yake.

Nilimpelekea mzigo baada ya hapo kanikaribisha nyumbani kwake weekend hii. Yeye hajaolewa ila ana watoto wawili binti na mvulana huyo binti yake ana umri kama wa miaka 17 hivi. Nilipofka kwake wamenipokia vizuri nikabahatika kumzoea.

Binti yake nikatake na contact akiwa chumbani kiukweli binti yake kanitamkia ananipenda cha ajabu leo nimepeleka mzigo mama nae kanieleza ananihitaji tena kesho tukutane hotelini, nipo njia panda.

Jamani nifanyaje,nishaurini.

Utakufa ndugu kuwa makini usiendekeze tamaa fanya kazi yako usiendekeze mapenz..
 
Mimi ni msambazaji wa bidhaa kwenye supermarket mbalimbali nipo Arusha. Juzi katika kazi zangu nilipata mteja mpya ambaye ni mama mtu mzma mwenye supermarket yake.

Nilimpelekea mzigo baada ya hapo kanikaribisha nyumbani kwake weekend hii. Yeye hajaolewa ila ana watoto wawili binti na mvulana huyo binti yake ana umri kama wa miaka 17 hivi. Nilipofka kwake wamenipokia vizuri nikabahatika kumzoea.

Binti yake nikatake na contact akiwa chumbani kiukweli binti yake kanitamkia ananipenda cha ajabu leo nimepeleka mzigo mama nae kanieleza ananihitaji tena kesho tukutane hotelini, nipo njia panda.

Jamani nifanyaje,nishaurini.
Dah! Una nyota ya ukimwi jamaangu
 
Stori yako nzuri.... Ivi mtungaji ni wewe mwenyewe au shigongo?
 
Nimepitia comments zote nikitafuta ushauri wa Preta itakuwa hajapita hapa. . . Subiri aje, huwa ana ushauri mzuri sana kwa mada kama hizi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom