Mama na mtoto wananipenda nifanyaje?

Mama na mtoto wananipenda nifanyaje?

Mchukue huyo binti ake huyo maza mpgie puli tu inatosha mkuu
 
Kwanza kabisa jiandae kisaikolojia kuwa punga maana kwa tamaa zako unataka kuyaponza makalio yako yasiyo na hatia....
Usipende vitu rahisi rahisi jifunze kupambana....otherwise wapambanaji watakusukuma kinyesi...mpaka mdomoni....
 
mtoto mdogo
Yani unashauriwa ujinga afu unakubali sasa wakitokea wateja kama hao 10 unafanyaje, kama unaipenda kazi yako kaa mbali na wateja wako kwa maswala ya ngono,ndiyo maana wengi hatufiki mbali kwa kuwachanganga wateja na ngono.
 
Last edited by a moderator:
mng'ato
Hakuna siri duniani mwisho wa siku mama mtu atajua unadhani akijua huyu uhusiano wa kibiashara na mama mtu utakuwaje athamini biashara yake kama anataka kufika mbali.
 
Last edited by a moderator:
sister
Hata nisingejaribu nimemjbu kimasihara 2
 
Last edited by a moderator:
Siste
Hata mwanae siwezi chukua cause kaja kirahisi mno itakua tamaa tu.
 
Last edited by a moderator:
Wenyewe wakija kusoma hii thread humu itakuwaje? Unadhan wao hawajui JF? Sasa utakosa vyote.
 
Huyo wa 17 unachezea sharubu za simba jela hiyooo inakwita gerezani upande wa wanaume ukipiga kelele kuwa unabakwa askari anakwambia pambana hakuna anae vaa khanga humo. Ushauri wangu huo.
 
Inashangaza sana kusikia unatamkiwa neno mapenzi ndani ya muda mfupi sana na watu ambao wanashea damu moja,kuwa makini na kinachoendelea katika maisha yako maana huwezi jua kilichopangwa juu yako.Maisha yako ya kimapenzi natumai hayakuanzia kwa hao mama na mtoto ndivyo hayatatakiwa kuishia kwao,jiulize kama wewe umetamkiwa mapenzi je ni wangapi wametamkiwa maneno hayo?
Utakachokifanya ni kuharibu biashara ukiingia kwenye mahusiano ambayo hujapanga ukiamua kuingia kichwa kichwa.
 
Fanya kazi wewe kwani ulifuata mapenzi huko...utakufa kama kuku!
 
angalia usije kuachwa bila sababu!
 
Hii siyo halisi. Mleta mada naona umeamua tu kunogesha jukwaa. Its not bad anyway!
 
Back
Top Bottom