Mama mwenye utulivu wake anahitajika.

Mama mwenye utulivu wake anahitajika.

Mmmh!!!! kweli kazi
wed3.jpg
 
Heee! Kumbe na wewe ni sawa na mtoa mada?.....haya bwana ndio hivyo tena.

Nooooh , nilifikiri ni mmama nikuje pm nikuulize mbona hufanani?
Ma mama ya nini ikapwele pwelete bure!!
 
Nimeona Comment Zenu!
Mimi Sihitaji Mama Mwenye Pesa, Hizo Ni Zake Tu. Mimi Nahitaji Mama Mwenye Utulivu Kwa Maana Ya Hekima Na Busara Zake. Mwenye Utulivu Ani Pm
 
Back
Top Bottom