Mama mwenye nyumba ananitaka

Mama mwenye nyumba ananitaka

Mkuu siri ya ndani, anaweza kukatiwa viuno mpaka akaona condom ni kiwingu.
Doesnt make any sense!
Yani mke wa mtu ule peku peku, afu akikupa viuno uvue kondom?
Sikubishii kwa sababu sijui labda my love wewe unajua zaidi au labda umeshaona.
Afu kwa nini baadhi yenu hampendi condom?
Mimi kuna maichana tena MD wa muhimbili alikuja kwangu getto.

Nikamvua nguo nishmlainisha kila kitu ..
Akawa anaisikilizia..
Nikanyoosha mkono kuvaa kinga yangu.
Pale pale akageuka kama mbogo nyege zikamuisha.
Na mimi sikumbembeleza nikajua lazima ana ngoma huyu.
Kwa nn anataka nimpige kavu?
Mpaka sasa hivi tunawasiliana tu sina hata hamu ya kumwambia chochote.
 
Hapo mkuu inabidi uchague moja wapo kati ya haya ,kufanya kweli au kuhama.
Usipofanya kweli na ukaendelea kuishi hapo utapata Shida sana , ushauri wangu MPE haki yake ila asizoee sana.

Wakuu
Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa
Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake nami pia nina mke wangu

Baadhi ya viashiria nilivyovibaini mpaka sasa, kwanza ananitumia meseji zenye mitego sana yaani ata haziendani na umri wake...tunapokuwa nyumbani hapa unakuta tunapishana ananikonyeza

Zaidi hapa ndio nimeamini kabisa huyu mama ananitaka kwa namna yoyote ile leo hii, alikua anakusanya pesa Tsh 15000 kwaajili ya umeme lakini kaniambia kwa awamu hii ananilipia yeye, nami nikasema sawa na ninashukuru sana

wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana! Akijua sijui itakuaje, hapa naona uzalendo unakaribia kunishinda
hapa nahisi kapotea maana mi kwa tabia zangu za kitambo siwaachagi hawa, naona ananifuatilia saaana, soon mtaona manyoya wakuu

Nimeona tu niwape taarifa!
Nawasilisha
 
Mkuu hata kodi atakwambia mwezi ujao usilipe atalipa yeye ....

ila jiandae na ww kulipa fadhila kwa mama mwenye nyumba na ipo siku hata baba mwenye nyumba atataka ukulipe fadhila kwa kumla mkewe
 
Wakuu
Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa
Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake nami pia nina mke wangu

Baadhi ya viashiria nilivyovibaini mpaka sasa, kwanza ananitumia meseji zenye mitego sana yaani ata haziendani na umri wake...tunapokuwa nyumbani hapa unakuta tunapishana ananikonyeza

Zaidi hapa ndio nimeamini kabisa huyu mama ananitaka kwa namna yoyote ile leo hii, alikua anakusanya pesa Tsh 15000 kwaajili ya umeme lakini kaniambia kwa awamu hii ananilipia yeye, nami nikasema sawa na ninashukuru sana

wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana! Akijua sijui itakuaje, hapa naona uzalendo unakaribia kunishinda
hapa nahisi kapotea maana mi kwa tabia zangu za kitambo siwaachagi hawa, naona ananifuatilia saaana, soon mtaona manyoya wakuu

Nimeona tu niwape taarifa!
Nawasilisha
hiyo elfu 15 ndo imekutia wazimu wewe
 
Sio kwamba tutaona manyoya ya kuku,tutaona unataturiwa marinda mkuu.
 
Dah.... Ongea na mkeo bana.... Mwambie mtapata msamaha wa kodi
 
Moto haugegedwi ndugu yangu! Angalia ile methali isemayo " Majuto mjukuu" isitimie kwako!!
 
Back
Top Bottom