Mama mwenye nyumba ananitaka

Mama mwenye nyumba ananitaka

"....Unaweka rehani miaka 30 ijayo kwa starehe ya dakika 30..."

Fikiria familia yako kwanza. Matokeo mabaya ni mengi zaidi kwenye unachotaka kufanya kuliko matokeo mema.
 
Wainnalilah rajiun.....

Hizi ndizo fikra za kijana wa kiume ambaye ni baba wa familia.....ambaye ndiye kichwa cha familia....ambaye kupitia uzao wake tunategemea kuwapata waTanzania wengine.......

So sad....and very sad......

Nawakumbusha mabinti kuwa sio kila mwanaume ana sifa ya kuwa mume.......

Mwanaume hawezi kuwa na sifa ya kuwa mume.....mpaka atakapoishinda vita ya kupambana na matamanio yake........

Na ndio hao waliotulea na kuwa watu bora....na daima tunajivunia kuwa na baba kama huyo.......

Wewe ungejisikiaje pale ambapo ungesikia kuwa baba yako amefumaniwa.....!???

Think big
Take control of your destiny........
 
Haya asante kwa Taarifa na kuonyesha kua na wewe ni Rijal ila kumbuka huenda mkeo analiwa na Baba mwenye nyumba sasa mkewe analipiza ebu tuliza akili utafakari tena kabla huja chukua hatua,manake kila mla cha mwenziwe na chake pia Huliwa...
 
Bure ni ghali sana, unaweza kufikiria tatizo la kodi litakwisha lakini unajua anayoyabeba kwenye mwili wake? Usije ukaishia kwenye kitengo na ARV kwa maisha yako yote yaliyobaki.
Bora akiishia kwenye ARV kuliko akapoteza nyeti kama yule mkenya...hapo ndipo atajua " Dunia hadaa ulimwengu ni shujaa"
 
Bure ni ghali sana, unaweza kufikiria tatizo la kodi litakwisha lakini unajua anayoyabeba kwenye mwili wake? Usije ukaishia kwenye kitengo na ARV kwa maisha yako yote yaliyobaki.
Ni kweli mkuu nitajitahidi ila mambo magumu haya
 
Kutokana na Ile tabia yako ya awali huyo ulishamnyonyoa ile kuwa makini cha mtu huliwa na mtu na malipo ni hanohano duniani.
Hapana mkuu bado sijamnyonyoa
ile tabia niliiacha muda sana, ila huyu mama ndio anataka kunirudisha nyuma
 
Hiyo taarifa ingekuwa better kama ungempa mume wa huyo mama na mkeo

Kutupa taarifa watu tusiokufahamu hainogi mixer sio fair
Nikiwatarifu hao unahisi kitatokea nini?

Hii nimepanga niifanye kimya kimya
wasijue kabisa
 
Wakati uyo mama anakuonyesha dalili za kukutaka na mkeo nae anamuonyesha baba mwenye nyumba dalili za kumuitaji kwa iyo bila bila,tombeaneni tu.
Mke wangu mtulivu sana!
hafanyi na haijui michezo iyo
 
Je mke na mmewe una uhakika hawaingii ndani ya hii nyumba ya jf?
Na kama wanaingia ndani ya hii nyumba na wakaikuta hii taarifa yako watakufanyaje?
Wakiwa wanaingia ndani ya hii nyumba lzm wajue ya kuwa unawasema wao kwani 1wapo ya indicator ni kiwango cha mchango wa umeme mnaochanga kwa mwezi. Na kwamba mkusanyaji ni mama.
Hii haiwezi kunikamatisha!
hicho kiwango, na mkusanyagi haya yanafanyika katika nyumba nyingi za kupanga

Ata ivyo nitawakataa wazi wazi
 
Inaonyesha huheshimu ndoa yako na wala haumuheshimu mkeo kabisa, kuna mahali umesema kuwa tatizo ni mumewe tu tena kwa sababu mnaheshimiana. Hii ina maana ya kuwa wewe huna kikwazo, haujafungwa na kitu chochote, ndio kusema kama angekua sio mke wa mtu hata huu UZi usingeandika, ungetafuna tu maana mkeo si kikwazo katika hilo.
Kitu kingine nimegundua kaka unapenda sana mteremko ( kitonga) maana suala la mama kukusamehe pesa ya umeme umeliandika ukiwa unatabasamu.
Kumbuka ya kuwa unachojaribu kufanya kwa mke wa mwenzako na wako anaweza kufanyiwa hivyo hivyo. Pia katika suala kama hilo kabla ya kuangalia huyo mwanamke ameolewa au hajaolewa kwanza angalia wewe mwenyewe umeoa au haujaoa. Jifunze kuheshimu ndoa yako kwanza.
Nakusihi achana na huo mpango, tabia ya kuchepuka tu sio nzr lakini mbaya zaidi wewe unataka kuchepuka na mke wa mtu na kama haitoshi huyo mwanamke unakaa nae nyumba moja.
Uanaume una dhana pana kaka, sio tu kufungua fungua zipu kwa kila mwanamke.
Fikiria kuhusu mkeo, fikiria kuhusu heshima yako, fikiria kuhusu heshima ya ndoa yenu na zaidi fikiria kuhusu heshima iliyopo kati yako na baba mwenye nyumba.
Ukiona maji yamefika shingoni hama nyimba.
Hapo utakua umefanya maamuzi ya kiume.
Ushauri mzuri huu
 
Wakuu

Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa


Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake nami pia nina mke wangu


baadhi ya viashiria nilivyovibaini mpaka sasa, kwanza ananitumia meseji zenye mitego sana yaani ata haziendani na umri wake

tunapokuwa nyumbani hapa unakuta tunapishana ananikonyeza

Zaidi hapa ndio nimeamini kabisa huyu mama ananitaka kwa namna yoyote ile leo hii, alikua anakusanya pesa Tsh 15000 kwaajili ya umeme lakini kaniambia kwa awamu hii ananilipia yeye, nami nikasema sawa na ninashukuru sana

wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana!
akijua sijui itakuaje, hapa naona uzalendo unakaribia kunishinda
hapa nahisi kapotea maana mi kwa tabia zangu za kitambo siwaachagi hawa, naona ananifuatilia saaana, soon mtaona manyoya wakuu

nimeonelea tu niwape taarifa!

Nawasilisha
aisee, isije ikawa ndiye wewe kijana mpangaji wangu hapa kwangu. ngoja nianze kuwafuatilia. nakushauri uhame haraka kijana maana nikikukamata....
 
Vassiline na K-Y ni vitu muhimu sana kwenye maisha yako kuanzia sasa maana mumewe akikumata muombe tu atumie ivyo vitendea kazi ili asikuache na michubuko.
Ivi kabisa unadiriki kupanga kumzini mke wa mtu aiseeeee.
Ahahahah

Haiwezi kuwa hivyo kama unavyofikiri!

Nikupiga kisela tu na kuona mbele zaidi
 
Back
Top Bottom