Mama mwenye nyumba ananitaka

Mama mwenye nyumba ananitaka

Wakuu
Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa
Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake nami pia nina mke wangu

Baadhi ya viashiria nilivyovibaini mpaka sasa, kwanza ananitumia meseji zenye mitego sana yaani ata haziendani na umri wake...tunapokuwa nyumbani hapa unakuta tunapishana ananikonyeza

Zaidi hapa ndio nimeamini kabisa huyu mama ananitaka kwa namna yoyote ile leo hii, alikua anakusanya pesa Tsh 15000 kwaajili ya umeme lakini kaniambia kwa awamu hii ananilipia yeye, nami nikasema sawa na ninashukuru sana

wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana! Akijua sijui itakuaje, hapa naona uzalendo unakaribia kunishinda
hapa nahisi kapotea maana mi kwa tabia zangu za kitambo siwaachagi hawa, naona ananifuatilia saaana, soon mtaona manyoya wakuu

Nimeona tu niwape taarifa!
Nawasilisha
Unanhofia mume pekee? Vipi UKIMWI haukuogopeshi
 
As long as si mkeo achana naye
 
Kama mnakaa nyumba moja au ndani ya fensi moja jaribu kufikiria siku amegundua kambana mkewe naye amekiri kuwa mnakula uroda walahi utaomba dunia ichimbike shimo uingie halafu lijifunge historia yako iishie hapo
 
soon mtaona manyoya wakuu

Nimeona tu niwape taarifa!
Nawasilisha
Nahisi tutaona manyoya ya aina mbili ya sehemu ya ku-poop ya mwanaume na ya sehemu ya ku-pee ya mwanamke. Yaani haya yote ni kiashiria hawa wote wa jinsia mbili tofauti washaliwa. Muosha huoshwa.
 
Kumbe na ww mwenyewe unataka mimi nilidhani unachukua hatua mbadala kupambana na kadhia hiyo haya endelea
 
Nahisi tutaona manyoya ya aina mbili ya sehemu ya ku-poop ya mwanaume na ya sehemu ya ku-pee ya mwanamke. Yaani haya yote ni kiashiria hawa wote wa jinsia mbili tofauti washaliwa. Muosha huoshwa.
Kijana sio lazima ucoment!
funga domo hilo
 
Sikushauli kabisa kuhusu swalahilo na kuwa na hofu kabisa ya muumba wako naokopa sana dhambi ya udhinifu nikubwa na mungu hapendi, nakwanini ukimbilie kula nyama mbichi nawakati yakupikwa nayenyeladha ipo.
 
Back
Top Bottom