mtanikumbuka
Member
- Jan 14, 2017
- 67
- 73
Nachukua fursa hii kuwaaga kwakuwa mama mwenye nyumba karudi karibuni tena msimu ujao
Nachukua fursa hii kuwaaga kwakuwa mama mwenye nyumba karudi karibuni tena msimu ujaoView attachment 499505
Emu acha atupe uhondo mkuu, wewe hufurahii kuziona mkuu?Hivi hizi picha za watu mnazotumia ovyo, mnatafakari kabla ya kuziposti.. Wengine wanaheshima zao kwenye Jamii.
Unaweza kufurahia kwa sababu huyo mama hakuhusu. Kesho itakapo wekwa ya Bi. Mkubwa wako ndo utaelewa ninachokisema. Tuache kuposti ovyo picha za watu hasa tusiowajua wasifu wao ktk Jamii.Emu acha atupe uhondo mkuu, wewe hufurahii kuziona mkuu?
Uko sahihi mkuu, japo wengine wataona ushauri wako ni wa hovyo. Usijali maana message sent and delivered.Unaweza kufurahia kwa sababu huyo mama hakuhusu. Kesho itakapo wekwa ya Bi. Mkubwa wako ndo utaelewa ninachokisema. Tuache kuposti ovyo picha za watu hasa tusiowajua wasifu wao ktk Jamii.