Mama mwana na mkwe?

Mama mwana na mkwe?

Ni sababu gani zilizokufanya kujua hao ni wafupi? mbona vichwa vyao vimekaribia paa la nyumba? au ume determine urefu wao kwa kuangalia chupa ya maji alobeba huyo mama? je haiwezej=kani kuwa huyo ni chupa ya maji ya lita mbili?
Nadhani ameangalia uhuiano kati ya urefu wa nyonyo za mkwe na kimo chake
 
Naanza kumwogopa Mshana jr! hiyo misukule au!!!!!!!!!! wapi watu wanakaa uchi zama hizi
 
Hizo nyonyo mbona kama zina kazi ya ziada ama?
Maana haiwezekani ziwe hivo..hii dunia mhh.
 
Back
Top Bottom