Mama mwana na mkwe?

Mama mwana na mkwe?

itakuwa ni upareni ndo kuna mbegu za hivi
Ni sababu gani zilizokufanya kujua hao ni wafupi? mbona vichwa vyao vimekaribia paa la nyumba? au ume determine urefu wao kwa kuangalia chupa ya maji alobeba huyo mama? je haiwezej=kani kuwa huyo ni chupa ya maji ya lita mbili?
 
hahahahaha kisa cha kuanza kuhangaisha akili yangu...... ni nini na ni kwanini unadhani nimefikiri ni wafupi? kuna sehemu nimesema wafupi au wewe ndo unafikiri kuwa mi ninafikiri wao ni wafupi??????
 
ca963fbc2ecfad4b72e3cf36fb06427f.jpg
"..Futi 4 people"
 
hao watu wafupi wa congo wanaishi msituni. walikuwa wanaliwa!!. walishawahi kulalamika kuna kabila lilikuwa linawaua na kuwafanya kitoweo wao pamoja na gorilla, sijui walikuwa hawaoni kuwa hao ni binadamu kama sisi au vipi,
 
Nimewahi kusikia kuwa viumbe hawa wanaliwa na niwatamu sana na ndio maana wanaishi msituni
 
Back
Top Bottom