Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
 
Capacity building

Chaebols

Chinese State owned enterprises

Park Ching Hee era and The rise of Chaebols...

Nina ndoto ya kutengeneza mabilionea 100 katika kipindi changu Cha Kuongoza Jamhuri ya Watu Wa Tanzagiza...

Institutional economics ... ...

Mfugale..
Late DR MENGI

ALI MUFURUKI

nakwenda lakini Nitarudi , nitakuja kukusalimu mjomba
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Bahati mbaya Trump kafungia misaada otherwise wangepewa wao ili wakakope,muarabu kabeba mpk twiga serengeti halafu watu wanapelekwa zoo Dubai Hatari sana hii
 
Turia
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Mjomba ni mama acheni kerere
 
Damu ni nzito kuliko maji! Na hiki ndicho ulichosahau ndugu yangu Mtanganyika! Wewe ni maji tu, na hao Waarabu ni damu.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Kuna vitu sio vya kuwapa watu wa nje kama misitu, bandari, maeneo ya Wamasai viwanja vya ndege, elimu ya msingi, afya, kilimo, chain yoteya biashara Kariakoo, madini.

Unaweza kuajiri wakurugenzi kusimamia wakiajiriwa na serikali. Kama waarabu wanavyofanya nchini mwao wazungu wanasimamia sekta zote muhimu ili sio kuziuza mazima.
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Ndio ulitaka tukupe wewe Ili uendelee kujineemesha harafu unatuandikia hasara Kila ripoti ya CAG?

Kazi ya Serikali ni kutoa Huduma sio kufanya biashara
 
mnachosahahu labda ni kwamba kabla ya mapinduzi wote waliweka kambi dubai hata akina mbowe & co. walikuwa huko, sasa mapinduzi yoyote yale dunia hii yanakwenda na reparations, na hii ni dunia nzima, haujasikia D.Trump anataka madini ya ukraine sababu USA imelipia kuilinda Ukraine ?
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Kabla ya kuandika waraka huu taja mradi mmoja tu umewahi kuendeshwa kwa faida na sisi wazawa? tumefilisi kila kitu na tunajenga vi stand vya bus Billion 5 havina thamani hata ya Million 100 moja. Tutajie shirika moja tumeweza kulikuza zaidi ya kuuwa. Mwendokasi tulikuwa sisi tumefanya nini? Ma bus hakuna na yaliyopo hayatoshi likiharibika ndio basi tena. SGR pale watu wanapiga pesa kwenye tickets hatari hawana hata uchungu wanajali matumbo yao tu. Yaani ni wizi mtupu wewe ukitaka kufilisika mradi wako mpe Mtanzania tu. Nimeona miradi ya barabara imefanywa na kampuni za wazawa ni aibu mashimo tupu mpaka miradi inarudiwa. Badala ya kulaumu tujiangalie sisi tumefanya nini?
 
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender za qaara

Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾‍♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Hizo kampuni za waarabu na za Abdul na mama yake
 
Back
Top Bottom