Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

It wont happen i bet...

asaivi mwaka huu anamalizia kusoma,anatafuta kazi,na kazi yake inalipa masha Allah,so hope kila kitu kitaenda as planned insha Allah ,i never worried abt it,alaf mwanaume mwelewa kwa kila kitu.
kuhus kujenga nyumba tutajenga hata tukishazaa watt wawil muhim tutengeze maisha kwanza yakae poa zaid
Okay! But bear in yt mind that 99% of dreams never come true..! Take precaution my dear. Ndoa huwa zinakufa sembuse uchumba??

Afu don't expects much to avoid desperates when things zitakuwa ndivyo sivyo..! Shida mnafikiri ndoani ni km peponi mnasahau there is shortbacks pia.
 
Mama wakwe wengine kichefuchefuu hasa ukijifanya mpoleee
 
Okay! But bear in yt mind that 99% of dreams never come true..! Take precaution my dear. Ndoa huwa zinakufa sembuse uchumba??

Afu don't expects much to avoid desperates when things zitakuwa ndivyo sivyo..! Shida mnafikiri ndoani ni km peponi mnasahau there is shortbacks pia.
Najiamin coz ninamisingi yangu pia,so sidepend sana vya kutoka kwa mwanaume.

Nmejipanga as how he did.
he loves me i do love him to death.

twalibr2
 
Mkwe mwenye nguvu za kutafuna ukoko anafanya nini hapo!???? Loooh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Najiamin coz ninamisingi yangu pia,so sidepend sana vya kutoka kwa mwanaume.

Nmejipanga as how he did.
he loves me i do love him to death.

twalibr2
Unaota wewe bado..! Eti i love him to death[emoji23] [emoji23].
Naona una malizia balehe wewe usiusemee moyo wa mtu ni kiza kinene mno..
 
Unaota wewe bado..! Eti i love him to death[emoji23] [emoji23].
Naona una malizia balehe wewe usiusemee moyo wa mtu ni kiza kinene mno..
Hahahaa katika akili zenu ndo mnavokariri hamnaga mapenzi ya dhati[emoji1] si eti ila nyota zikiendana midomo haizungumzi bali hisia tu
 
Hahahaa katika akili zenu ndo mnavokariri hamnaga mapenzi ya dhati[emoji1] si eti ila nyota zikiendana midomo haizungumzi bali hisia tu
I know the principles for true love!
Moja ni hii; true love is there for those who trust and believe in it..! But remember things do change pia..
 
I know the principles for true love!
Moja ni ni hii; true love is there for those who trust and believe in it ! But remember thing do change pia..
Kuchange inadepend na mara nyng kujitakia lkn ni mara chache pia.

kama kweli mmependana hamuko tayar kupotezana kwa hali yyte ile hata litokee tatizo gani.
 
Kuchange inadepend na mara nyng kujitakia lkn ni mara chache pia.

kama kweli mmependana hamuko tayar kupotezana kwa hali yyte ile hata litokee tatizo gani.
Note kila ulichonacho kinachomvutia kwako, kuna watu wanavyozaidi kuliko wewe..! Imagine huyo boy wako anatokea kupendwa na Shasha Oboma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ha ha ha acha mifano ya bunuasi bana usieke mifano ilokua impossible
 
Shida yangu nakufikisha tu..! Ils nikwambie ata Jeska makufuli akimpenda hakika atasahau kmaliwahi kuwa na kumbukumbu ya mtu km wewe na kinyume chake pia(wewe)
Si ya kweli hayo,na siamini,mwanaume mchepukaji skuzote mchepukaji na alishazoea tu..

Siku ya harus wala usjal ntakuja kutangaza hapa jf,ukipenda na ww uje kuhudhuria kula biriani au sio
 
Kaaa vzr na Mumeo, mueleze kila kitu uschokifurahia kwa mkwe wako thena yeye ataongea na Mama ake.
Inaelekea mumewe hayuko smart kichwani thus why anadiriki kumsifia x na mzazi mwenza mbele ya mkewe.
 
Pole saana! Mwambie Dada awe anapika chakula cha familia jioni..km mume wako hapendi kupikiwa na Dada its okay Dada awe anapika cha wrngine isipokuwa wewe na baba, nina hakika chakula cha wawili hakichukui muda kama cha watano saba.

Pili ni swali.. Mumeo bubu? Hawezi kusema mama hiki nashiba hiki hiki ndio hua nakula??
Kama haingei kitu nunua sahani kuuubwa mtindo wa sinia anza kumwekea hapo chakula na uhakikishe amemaliza[emoji57] [emoji57]
Usipende ujinga[emoji12] [emoji12]

Suala LA mumeo kuufyata huku mzazi mwenzao akienda kwao?? Hivi amelogwa au?

Pole mkuu karaha ya mama mkwe inajulikana sana!
Pole sana.
Wewe ndio unanishauri hivi ili niitwe mchoyo + mchawi namloga mtoto wake hahahaa, ntapopika cha Mimi na mume wangu unatarajia mama mkwe atafurahia!? Binadamu hawana jema hata nikimbeba mgongoni bado ataleta ulalamishi
 
Back
Top Bottom