Hiyo ni mbaya sana.
Only kama mama mkwe ni evil
kama ni decent one?
Even if she is decent, it's not good.
I know that experience far too well.
Hiyo ni mbaya sana mkuu, wazazi wanapooza wanapaswa kuwaachia wana wao...
Ni bora a penetrate kati kati yao kuliko kuwatenganisha kwa nguvu..
mi namjua kuna mdada alikuwa so close na mama yake mume akafanya kila namna kuwatenganisha
kilicho fuata ni mdada kutafuta mwanaume tu pembeni........
ni mama yake sawa, na ni mama yangu coz ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice.
Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, i think she is the one who makes my wife happy kulikoni mm, ni mamayake sawa lkn mie ni mume wake!! Nadhani mama ana nafasi kubwa ktk maisha yake kuliko mm!!,
simu wanapigiana hata mara nne kwa siku!!! Inaniboa.
She is too close hadi najisikia kama hatujakua coz as if she is watching over us!
Ikumbukwe kwamba kikwetu so long as nimeoa, jina la mwishoni la mke wangu linakuwa langu!! Na mwenzangu anaonekana yupo happy, anaona kawaida na ukaribu huo, yaani hakuna tofauti na alipokuwa nyumbani na sasa alipoolewa!! Na mie nataka that independent family!! Nahisi kuchoka atiiiii!'!!! Ophyuuuuuuuuuuu!
Jambo hilo ni la kawaida sana na hiyo hutegemea namna walivyoishi, hupaswi kuumiza kichwa na wala lisikukwaze unapaswa kutumia akili la sivyo litakuharibia ndoa yako. Chukulia kawaida ila jitahidi kuongeza upendo kwa mkeo ili akuzoee zaidi na kidogo kidogo atapunguza upendo kwa mama.
Nashukuru kwa michango,
Nikiangalia saa saizi ni saa tatu na dk saba, ndo ametoka kuingia siyo muda mrefu , kutoka wapi? Kwa mama!!!!!,
Tulikubaliana anaenda kuna mgonjwa anaenda kumtazama pale home, ni kweli. tumewasiliana vzr hadi mida ya saa nane mchana, saa kumi na moja namchek hapatikani mama hapatikani mdogowake anapatikana akanipa niongee nae, ananambia umeme umekatika na simu hazikuwa na chaji, unaondoka saa ngapi, ooh mume wangu nitachelewa coz kuna tatizo mama kapata, aah mbona hukunambia mapema, aah kupitiwaaaa!! Kimasikhara kama tunataniana!! Na.siyo mara ya kwanza hii late coming kutoka home kwa mama!!! Huyu ni mke wangu!! Sasa kwann asimshauri kwamba mwambie mumeo kwamba kuna tatizo coz inaonekana halijatokea ghafla halafu siambiwi ni tatizo gani'!!
Wananiona mi ni easy taker au vp????!!!!
Aah Mamdenyi, ndo mnavoshauriana na mama zetu wakwe hivo!!!!!?
Ni mama yake sawa, na ni mama yangu coz ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice.
Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, I think she is the one who makes my wife happy kulikoni mm, ni mamayake sawa lkn mie ni mume wake!! Nadhani mama ana nafasi kubwa ktk maisha yake kuliko mm!!,
Simu wanapigiana hata mara nne kwa siku!!! Inaniboa.
She is too close hadi najisikia kama hatujakua coz as if she is watching over us!
Ikumbukwe kwamba kikwetu so long as nimeoa, jina la mwishoni la mke wangu linakuwa langu!! Na mwenzangu anaonekana yupo happy, anaona kawaida na ukaribu huo, yaani hakuna tofauti na alipokuwa nyumbani na sasa alipoolewa!! Na mie nataka that independent family!! Nahisi kuchoka atiiiii!'!!! ophyuuuuuuuuuuu!