Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Aug 29, 2011 #1 baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy.
baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy.
K kautipe Member Joined May 6, 2011 Posts 64 Reaction score 6 Aug 29, 2011 #2 safi sana ni kukomesha wakwe wenye midomo kama huyo
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Aug 29, 2011 #3 good!!!
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Aug 29, 2011 #4 Hii ni kali ya kufungia mwaka!!
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,309 Aug 29, 2011 #5 bravooooooooooooo
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 Aug 29, 2011 #7 Hahahaaa kuna mama wakwe wengine ndio tabia zao hizo! Amepatikana hapo..
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,863 Aug 30, 2011 #8 Guuud!!!. Bado zamu ya mawifi.
Mitchell JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 944 Reaction score 1,103 Aug 30, 2011 #9 jeji said: baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy. Click to expand... safi sana na hii ni kiboko kwa mama mkwe wote wenye kidomo domo, gud!!!!!!!!!!!!!!!!!
jeji said: baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy. Click to expand... safi sana na hii ni kiboko kwa mama mkwe wote wenye kidomo domo, gud!!!!!!!!!!!!!!!!!
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,390 Aug 30, 2011 #10 hapo heshima mbele
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Aug 30, 2011 #11 hakika ma mkwe kapatikana.
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Aug 30, 2011 #12 Mama mkwe anamjua mkwewe ni kicheche so alihisi mwanae kauziwa mbuzi kwenye gitaa..................I mean kwenye gunia!
Mama mkwe anamjua mkwewe ni kicheche so alihisi mwanae kauziwa mbuzi kwenye gitaa..................I mean kwenye gunia!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Aug 30, 2011 #13 Jsaudi said: Hii ni kali ya kufungia mwaka!! Click to expand... <br /> <br /> sio yakufungia mwaka niyakufungia mwezi au ya idd
Jsaudi said: Hii ni kali ya kufungia mwaka!! Click to expand... <br /> <br /> sio yakufungia mwaka niyakufungia mwezi au ya idd
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Aug 30, 2011 #14 Kwa hilo jibu huyo mama mkwe hatorudia tena kwa maswali kama hayo
Cha Moto JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 945 Reaction score 154 Aug 31, 2011 #15 Tano, kwa jibu tu!