Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

wape mwezi mmoja! Umesema wiki mbili zimekatika bado wiki mbili zimebaki Zikiisha hizo andikia mama mkwe na mke wako Meseji(Usipige simu) Andika hivi " NAWASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU NIPO KWENYE MCHAKATO WA KUOA NA KUFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWINGINE ILI MAISHA YAENDELEE" wasipo kujibu hao ni kausha damu kimbia na Tafuta mwanamke mwingine.
Wanawake wamejaa unapata stress, najua hapo kinachokuumiza ni Mtoto! Hata kwenye mtoto kampime DNA kwa tabia hizo huenda mtoto kuna walakini(sihukumu).
 
Case kama hii inafanana na jamaa mmoja ila mke na mume walikuwa miji tofauti...bana eeh kumbe jamaa mtoto sio wake...siku anarudi mke amekimbia kwa mama mkwe ...na mama mkwe kamficha...jamaa anasema anachotaka DNA wakamwambia mtoto sio wake..
"Painful Truth" Ndo hiki nachosema jamaa ajaribu kuchunguza maana ukiona mama mkwe na mtoto wake wanashirikiana ujue kuna siri nzito nyuma ya pazia.
 
Usiseme mlikosana kidogo, mwenzio kaona umemfanyia kosa kubwa ndio mana akaondoka. Ila bro unamdekeza sana na hivyo unavyofanya atakusumbua sana. Acha kumfatilia kabisa, Kama Una kademu hamishia majeshi huko hadharani Hata Kama yupo nje ya nchi atapata TU habari zako lazima kaacha Mashushu. Aspokutafuta ujue Hana wazo lolote na wewe. Mwanaume haachwi bwana
 
Piga kimya.
Endelea na maisha
 
Yuko kwenye mikono salama, tulia endesha maisha yako muda si mrefu watakutafuta na wewe uwafanyie hivyohivyo na usipende kutumia kisingizio cha kumuona mtoto, mtoto yupo tu salama na mama yake.
 
Yuko kwenye mikono salama, tulia endesha maisha yako muda si mrefu watakutafuta na wewe uwafanyie hivyohivyo na usipende kutumia kisingizio cha kumuona mtoto, mtoto yupo tu salama na mama yake.
Asante sana ilo pia nimeliona
 
Kwnza je ni kweli alienda kwao baaada ya kukorofishana???

Chanzo cha ugomvi ilikuwa nn??

Kwa muda wa wiki 2 alizokuwa kwao familia ya huko iliamua nn??
Je umemuoa au amekuja tu kuishi nawe ??kama umemuowa wakati anarudi kwao nn kilifanyika? Walimpokea bila maelezo??

Ikiwa hajachukua chako chochote endelea na maisha yako kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi niwe karibu na kamchepuko lakini akijua si ndio anaweza kufanya kama sababu kuu.
 
Nashukuru sana ngoja niwape wiki mbili nyingine nione
 
Familia yake ni ya mama tu yani wameungana wala hajaamua chochote wanatengeneza mazingira ya kunyenyekewa kisa wanajua nampenda mtoto yani nawaza sijui nimpotezee na mtoto walau kidogo maana wanamtumia kama fimbo kunichapa
 
Mkuu hao watakusaidia nn?
Pia mwanaume kwenda kule ni kamzozo.
Uko hapana siwezi kwenda mkuu nitajaribu kumueleza madhara ya kutengana yatakuwa kwa mtoto lakini asipo nielewa kweli nitamuacha japo inauma kuona mtoto atakuja kuishi vibaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…