fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,030
Ngoja tusiende mbali sana...mama, mke na mtoto wote wana thamani...Tofouti ya thamani zao ni kama vile Almasi, dhahabu na fedha...Mama huwezi kumbadilisha ukazaliwa na mwingine, mke unaweza ongeza mke wa pili, na mtoto unaweza kuongeza wakawa watoto :bounce:Hivi thamani anatoa mama, mke, mtoto? hapa ni kumkalisha kiti moto huyo mume ajibu.