Mama Mkwe, Je unampa heshima ya aina gani?

Mama Mkwe, Je unampa heshima ya aina gani?

Wanasema adui wa mwanamke ni mwanamke

Natumia app kwenye Nokia ya tochi

Hakuna mama mzazi akawa adui na mkeo vingenevyo uwe umeoa bila RADHI ZA MAMA MZAZI..
Hakuna kama mama dunia ya leo hii..
TUSILETE UJUAJI ATI NATAKA NIKAE NA MKE WANGU BILA YA MAMA YANGU KWAKUA MAMA ATATUBANA..
Wenye fikra za namna hio hao ni wale ambao hawajapata MALEZI BORA TOKA KWA MAMA ZAO
adui wa mwanamke ni WIFI hapo kidoooogo ntakuelewa lkn sio MaMa
 
Ni mama tu ambae hutakiwi kuishi nae zaidi ya saa 72 uwe mke au mume!
Historia ni mwalimu mzuri, ktk historia mama mkwe hakawii kuona dosari.

Naoa ili iweje????
Naoa ili mama yangu apate kupumzika mwinga wake amsaidie kupika na kufanya kazi zingine..wewe unasema hufai kukaa na mama yako zaidi ya masaa72????
Mkuu kapimwe Akili,,wewe utakua haupo sawa
 
Matatizo mengi na mama mkwe yanaazia kwenye hali ya uchumi. Wasioelewa wanafikiri umeolewa kwenda kula bure kwa mtoto wake ilhali wewe ndiye mwenye kupato kikubwa
 
kama mama tu hakuna zaidi.. muhimu ni kuwa nao mbali pale inapowezekana hajanilea lazima kuna mambo ataona hayapo sawa kwangu na akijaribu kunirekebisha naweza nisichukulie positive ,... space ni muhimu

Imagine sasa mimi,ndio nimekuoa wewe kwa bahati mbaya wewe unaishi na mama yako tu mzazi na wewe mdio jicho lake kwako,kwa shida na raha.kisha baada ya harusi tumekaa kama wiki 2 hivi hlf nakwambia mke wangu fanya mpango mama ahame humu ndani kwetu kamtaftie hata chumba huko uswahilini mimi ntamlipia kodi,,,kisa hatuna uhuru humu anatubana,tunashindwa kujiachia
MISS CHAGA UTAKIFKIRIAJE???UKIZINGATIA TANGIA AMEKUZAA HAMJAACHANA NA MAMA YAKO HADI KUFKIA UMRI HUO NA UKAOLEWA,,
 
Hakuna mama mzazi akawa adui na mkeo vingenevyo uwe umeoa bila RADHI ZA MAMA MZAZI..
Hakuna kama mama dunia ya leo hii..
TUSILETE UJUAJI ATI NATAKA NIKAE NA MKE WANGU BILA YA MAMA YANGU KWAKUA MAMA ATATUBANA..
Wenye fikra za namna hio hao ni wale ambao hawajapata MALEZI BORA TOKA KWA MAMA ZAO
adui wa mwanamke ni WIFI hapo kidoooogo ntakuelewa lkn sio MaMa
mama alizaliwa akawa na maisha yake na mume wake , na wewe na mkeo au mmeo mnatakiwa kuwa na maisha yenu na kufanya mnayoyataka regardless mama anapenda au hapendi.

Waafrika tunaendekeza utegemezi wa kipuuzi puuzi , mtu hawezi kufanya maamuzi hadi wazazi wake waridhike.

Upendo ni tiba.
 
kwa tabia ya mama yangu kupenda kucontrol nakubali akakae sehemu.. mama yangu ni mkosoaji hapa yupo mbali lakini mikimpa upenyo tu anaweza panga hadi ratiba ya chakula.... kama si mgonjwa nitafanya mpango hakae huko... hapa naongelea mama yangu na nampenda sana ila ana weakness hiyo
 
umenena vyemà watu wengi hatujui bila hao mama hata hao wenza wetu tungeshindwa kuishi nao juhudi zamalezi pamoja kumfundisha awe mtoto mwema mama kama mama ameplay part kubwa sana katika maisha ya mwenza wako hakuna kiumbe timilifu tujue hilo
 
mama alizaliwa akawa na maisha yake na mume wake , na wewe na mkeo au mmeo mnatakiwa kuwa na maisha yenu na kufanya mnayoyataka regardless mama anapenda au hapendi.

Waafrika tunaendekeza utegemezi wa kipuuzi puuzi , mtu hawezi kufanya maamuzi hadi wazazi wake waridhike.

Upendo ni tiba.

USISEME WAAFRIKA TUNAPENDA KUFANYA MATEGEMEZI
HIO TABIA WEWE NDIO UNAYO IGA KWA HAO WAZUNGU,,,
USILETE MILA ZA UMAGHARIBI,,OFCOZ MIMI SIWEZI FANYA JAMBO BILA RADHI YA MAMANGU,mzazi akiwa radhi na kitu hata Mungu anakufanyia wepesi

Ati kama alizaliwa na Maisha yake
Yaani mamtu mengine bora hata yangekua fungu ya nyongeza ya mkaa ikasaidia hata kuivisha Uji
WEWE KWELI UNASEMA IVO..HIVI UNAJEURI YA KUMLIPA MAMA YAKO MZAZI FADHILA YOYOTE ALIOKUFANYIA..
Tena nyinyi wa style hii,MUNGU HUA HAWATUPI HAPA HAPA DUNIANI
ITAKUTOKEA WEWE MWANAO ATAKUFANYIA HIVYO..
Majuto yake utajiuliza ni KWANN MBWA HANENEPI MIGUU?
 
[QUOmanager cephalocaudo, post: 23388738, member: 383599"]Sio familia tu, hata mahusiano ya watoto wao.

Natumia app kwenye Nokia ya tochi
Ndo mana wanawake wengi wanapenda wakute ma Mkwe alishatangulia mbele za khaki........astaghafirullah[/QUOTE]

jaman nacheka na commetns zako uwiii
 
SERA YANGU YA KWANZA
KABLA SIJAFUNGA NAE NDOA SERA YANGU YA KWANZA..NTAKAYO MWAMBIA HUYO MWANAMKE AMBAE NATAKA KUMUOA,,
KABLA YA KUNIPENDA MIMI KWANZA MPENDE MAMA YANGU,KWA DHATI KABXAAA KAMA VILE MIMI NITAKAVYO MPENDA MAMA YAKO KWA DHATI NA KWA HESHMA ZOTE KAMA MAMA YANGU MZAZI..
Akikataa au akianza kunikunjia kunjia mdomo tu..hapo hapo anafungasha kwenda kwao Fastaaaa..!!!!
anaweza mpenda mama yako kwa dhati mama yako akamchukia kwa dhati pia .. kwa kigezo hicho omba Mungu
 
kwa tabia ya mama yangu kupenda kucontrol nakubali akakae sehemu.. mama yangu ni mkosoaji hapa yupo mbali lakini mikimpa upenyo tu anaweza panga hadi ratiba ya chakula.... kama si mgonjwa nitafanya mpango hakae huko... hapa naongelea mama yangu na nampenda sana ila ana weakness hiyo

Mama anavyokukosoa unafikiri.ni mjinga??mangapi aliokwisha kukusoa na kweli ulikua umekosea na ukajiweka sawa baada ya kukosolewa??
Ukifikiria hapo jibu utalipata..
Usingeijua hata JF bila ya kukosolewa au nawewe unamuiga Anko Magu hataki kukosolewa!!!

YAANI KUKOSOLEWA NDIO WEEKNESS YAKE!!!
Mmhhh...!!!hizi ndio dalili za Qiama wakuu[emoji1321]
 
Vipi Hali .

Please leo nataka tuzungumzie kuhusu mama mkwe .
Mna mmpa heshima gani as rafiki ? au unammpa heshima kama mama yako mzazi ? au ni wa kupita tu ?

Maana yake kuna wengine wanawachukia kina mama mkwe wa upande wa mume bila sababu bila issue yoyote ile . Yaani anakuacha unahisi kama kuna CHUKI fulani mpaka kero .

Please Share .
Mama wa mke wangu atakua ni mama yangu sababu tu mwili mmoja.
 
Mama anavyokukosoa unafikiri.ni mjinga??mangapi aliokwisha kukusoa na kweli ulikua umekosea na ukajiweka sawa baada ya kukosolewa??
Ukifikiria hapo jibu utalipata..
Usingeijua hata JF bila ya kukosolewa au nawewe unamuiga Anko Magu hataki kukosolewa!!!

YAANI KUKOSOLEWA NDIO WEEKNESS YAKE!!!
Mmhhh...!!!hizi ndio dalili za Qiama wakuu[emoji1321]
mama yangu akinikosoa me namuelewa na nitachukulia pouwa .. ila akija kumkosoa mume wangu inategemea muhusika atachukuliaje?

unajua tatizo lipo sehemu ndogo sana wewe unaweza jibizana na mama yako pale unapoona hafanyi pouwa lakini mimi nikijibizana kama wewe anaweza weka chuki na kuona simuheshimu .. the same mama yako akinikosoa naweza take it negeative lakini wangu akanikosoa kosa hilo hilo nikaona pouwa mkuu..

naongea kutoka na experiance hili swala kama hujaingia liache tu kama lilivyo
 
Back
Top Bottom