Mama mkwe jamani msaada!

Mama mkwe jamani msaada!

relax sweeetie!
relaaax !
sio isssue kuuubwa kiiiihvyo!
usiniumizie mamdogo bure !
relaaax!
sawa?
na hubbie akija wala usinune!
kwanza mara ya mwisho umeongeza njia lini?(nizoee tu ndo akili yangu ilivyo nikiwa naongea pwenti):wink:

Unataka akuoneshe scar??

Babu DC!!
 
Mama k pole sanaaa..

Take it easy bana.. Mbona hyoo ishu ndogo saaaaaana.

BTW baba k anakusuport na anakupenda hilo ndo swala la msingi.

Huo muda wa kulia nenda zako mazoezi, peruzi zako baby centre, ombea shughuli iliyoko mbele yako n.k. Kila la kheri mami.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
af nilikuwa najiuliza hizi akili nimerithi waaapi!
ahahahahhaa shikamoo babu!nimekumiss ujue

Mjukuu DC


Wewe sikuwezi.....

Kila unachoambiwa uache, ndo kwanza unakimbizana nacho...

Shauri yako...kama hukutosheka na jinai ya mtuhumiwa wetu, basi itafute nyingine...


Babu DC!!
 
Wewe sikuwezi.....

Kila unachoambiwa uache, ndo kwanza unakimbizana nacho...

Shauri yako...kama hukutosheka na jinai ya mtuhumiwa wetu, basi itafute nyingine...


Babu DC!!

mh!
babu na weeeeewe mambo gani ya kutishiaana guantanamo bay!
ujue mi namuonea donge huyu!
mi bado kupata tena hizi guts ujue!
mtuhumiwa alichonitenda sio cha kitoto!
yani phobia zingine loh!
 
Bamukunda mbona avatar ya THEDEALER nzuri tu jamani..............angalia ina nyumba nzuri zilizozungukwa na bahari.....si unafahamu kisiwa cha cape verde, ndio hicho sasa kwenye avatar ya THEDEALER...sawa Bamukunda

Ujumbe wangu ulihusu:
Mwenzio naonaga aibu,hata mama simwambiagi moja kwa moja,najipelekaga pelekaga ili wanione basi, .....
Jina anaitwa Sweet Husband, hivyo sikutegemea husband ambaye si bitter awe na mimba. Angalijiita Sweet Wife hapo mambo shega
 
Ujumbe wangu ulihusu:Jina anaitwa Sweet Husband, hivyo sikutegemea husband ambaye si bitter awe na mimba. Angalijiita Sweet Wife hapo mambo shega

Nimekupata uzuri...........ID vs avatar!!!
 
labda alitaka kukufanyia mila zao si unajua tena kila kabila zina mila zao kwa mkamwana wao.
 
msamehe bure usijitafutie stress ukashindwa kupush bureee, si umesema yuko mbali na wala hukai nae usijipe shida, mumeo si anakupenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom