babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,135
- 16,046
Yani hilo ni suluhisho muafaka kabisa atembezee mpini wote na mamkwe ikibidi then hata sala itanoga.Au nimshauri atembee na hao wajukuu maana wameshavunja ungo?

ila duuhYani hilo ni suluhisho muafaka kabisa atembezee mpini wote na mamkwe ikibidi then hata sala itanoga.
Yani hilo ni suluhisho muafaka kabisa atembezee mpini wote na mamkwe ikibidi then hata sala itanoga.
Hakyanani huu ushauri ninampa, tena anywe alkasusu mujarab kwanza
Yani hilo ni suluhisho muafaka kabisa atembezee mpini wote na mamkwe ikibidi then hata sala itanoga.
Au nimshauri atembee na hao wajukuu maana wameshavunja ungo?
Mzee mwenzangu vijana wanaleta uzungu mwingi sana sikuhizi. Af malalamiko wanaleta vijiweni badala wakaze 🤣🤣🤣Yani ukitaka udumu kwenye ndo yako na mke wako uwe mkoloni mbabe na mwenye misimamo utadumu na mke wako ndomana madingi zetu walidumu na mama zetu kitokana na ubabe na ukoloni walio waonesha mama zetu baba akirudi home watoto tunajua eeeh mzee kaingia nyumbani vijana wa sikuiz tuna kwama wapi yani mama mkwe akutawale kwako au ndugu wa mke wa mtawale kwako....aiseee hii ni aibu.
Mume ahana meno, anakubali kutawaliwa na familia ya mke, afukuze wote kama wanataka waondoke na binti yaoKuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri.
Kijana anaishi Mbeya kabila Msangu kaoa mwanamke Mnyakyusa.
Baada tu ya kuoa mama wa binti akahamia kwa kijana (mkwe wake] na kuacha familia yake huko Uyole.
Baada ya miezi 6 mama mkwe akaleta wajukuu zake wanne pale kwenye ndoa mpya [ndoa ya binti yake] na hawa watoto ni wanafunzi wanasoma shule ya bweni hivyo wakifunga wanafikia hapo.
Hii familia ni ya kilokole na hata mkwe ni mlokole. Kwa sasa familia hii imekuwa na watu 7, yaani Mume, mke, mama mkwe na wajukuu wa mama mkwe wanne.
Kijana wa kiume anasema hapati muda wa mapenzi na mkewe kwakuwa mke muda wote anakaa na mama yake mzazi sebuleni. Mama mkwe ndiye anaamua cha kupikwa, muda wa kusali, nyumba ikae vipi na mambo mengine kama hayo.
Mume kasusa tendo la ndoa maana kitanda kinapiga kelele na kipo karibu na sebule ambapo watoto wanakuwa wanaangalia TV.
Mke wa huyu rafiki yangu hajui kama ameolewa na mbaya zaidi ni wale watoto wameolewa kutokea nyumbani, hawajawahi kukaa gheto, yaani kahamishia familia yake yote hapo kwa mume.
Je, nimshauri awe anafanya mapenzi na mkewe hata kama mama mkwe yupo sebuleni na anasikia miguno ya utamu?
Huyu kijana ananiambia ukimuona mtu saa moja asubuhi yupo BAA anakunywa Pilisner baridi au ukiona mtu ananunua madada-poa muombee, hajapenda ila shida za kijinga kama hizi ndizo zinaleta stress.
Naombeni ushauri ili na mimi nimpe, JE, amchane laivu mama mkwe kwamba hamtaki ama amwambie mkewe kwamba nyumba ni ya wawili na siyo familia kubwa?
Kuna haja ya wazee wetu wa zamani kutufundisha miiko ya maisha ya ndoaMzee mwenzangu vijana wanaleta uzungu mwingi sana sikuhizi. Af malalamiko wanaleta vijiweni badala wakaze
Wanazingua aiseee ukoloni ubabe kwa mwanamke ndo solution usi fanye compromising na mwanamke baba ukiongea ndani umeongea akuna wa kupinga....ukisema mke wangu nataka mama ako na ndugu zako waondoke akusikilize na afanye hivyo....Mzee mwenzangu vijana wanaleta uzungu mwingi sana sikuhizi. Af malalamiko wanaleta vijiweni badala wakaze
Dah inasikitisha sana mambo ya kubembelezana na mke sio!Kuna haja ya wazee wetu wa zamani kutufundisha miiko ya maisha ya ndoa
Sasa mke anabeba ndugu anahamishia kwenu, hizo ni tabia za kisqahili, makabila kama ya tanga, uzaramoni na pwani ndio yana hizo tabia, hawa wanyakyusa wanapata wapi hizo tabiaDah inasikitisha sana mambo ya kubembelezana na mke sio!
Watu sijui wanaangalia parameters gani before kuoa?Sasa mke anabeba ndugu anahamishia kwenu, hizo ni tabia za kisqahili, makabila kama ya tanga, uzaramoni na pwani ndio yana hizo tabia, hawa wanyakyusa wanapata wapi hizo tabia
Ukitaka kuoa boss ni lazima ujue background ya familia unayooa, imagine hiyo familia nina uhakika haina baba, kwa hiyo mama anajiamulia tu kuhamia kwa watoto hata miezi sita anaacha mji wakeWatu sijui wanaangalia parameters gani before kuoa?
Hakika mkuu, sasa sijui watu wana overlook haya...Kuoa kwenye stable families hasa zenye baba active ni freshi kinoma. Unauhakika nidhamu inasimamiwa vizuri.Ukitaka kuoa boss ni lazima ujue background ya familia unayooa, imagine hiyo familia nina uhakika haina baba, kwa hiyo mama anajiamulia tu kuhamia kwa watoto hata miezi sita anaacha mji wake
Sisi makauzu tunaomba mzigo kwa mama mkwe lazima atakimbia tuKuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri.
Kijana anaishi Mbeya kabila Msangu kaoa mwanamke Mnyakyusa.
Baada tu ya kuoa mama wa binti akahamia kwa kijana (mkwe wake] na kuacha familia yake huko Uyole.
Baada ya miezi 6 mama mkwe akaleta wajukuu zake wanne pale kwenye ndoa mpya [ndoa ya binti yake] na hawa watoto ni wanafunzi wanasoma shule ya bweni hivyo wakifunga wanafikia hapo.
Hii familia ni ya kilokole na hata mkwe ni mlokole. Kwa sasa familia hii imekuwa na watu 7, yaani Mume, mke, mama mkwe na wajukuu wa mama mkwe wanne.
Kijana wa kiume anasema hapati muda wa mapenzi na mkewe kwakuwa mke muda wote anakaa na mama yake mzazi sebuleni. Mama mkwe ndiye anaamua cha kupikwa, muda wa kusali, nyumba ikae vipi na mambo mengine kama hayo.
Mume kasusa tendo la ndoa maana kitanda kinapiga kelele na kipo karibu na sebule ambapo watoto wanakuwa wanaangalia TV.
Mke wa huyu rafiki yangu hajui kama ameolewa na mbaya zaidi ni wale watoto wameolewa kutokea nyumbani, hawajawahi kukaa gheto, yaani kahamishia familia yake yote hapo kwa mume.
Je, nimshauri awe anafanya mapenzi na mkewe hata kama mama mkwe yupo sebuleni na anasikia miguno ya utamu?
Huyu kijana ananiambia ukimuona mtu saa moja asubuhi yupo BAA anakunywa Pilisner baridi au ukiona mtu ananunua madada-poa muombee, hajapenda ila shida za kijinga kama hizi ndizo zinaleta stress.
Naombeni ushauri ili na mimi nimpe, JE, amchane laivu mama mkwe kwamba hamtaki ama amwambie mkewe kwamba nyumba ni ya wawili na siyo familia kubwa?
Ampe talaka mkewe ili apate akili kwa nini kaachwa, hatokuja kurudia tena kumkaribisha Mama na wajukuu zake kwenye ndoa nyingine.Kuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri.