Mama mkwe anaumwa

Mama mkwe anaumwa

Mweee

Sasa unamtetea mama mkwe usiyemjua

ni zimwi likujualo tu ndo lina huruma!!
popote alipo mama mkwe wangu sina shida nae bna ni mama yangu wa pili huyo i wish nikutane nae nimpe mapenzi ya dhati no matter what!
 
ila tatizo mama mkwe wengine nao akili mbovu wanatesa sana
Hata wakiwa wanatesa mtendee wema tena wenye kuvuka mipaka ili hata siku akiwa taabani nafsi yake imsute ajifie kwa aibu yake mwenyewe.
 
kuna dada mmoja kaolewa jmosi kaishi na mume wake miaka 8 wana watoto 2 mama mkwe kagoma kuja kwenye harusi wakati huyo dada ndo anamsaidia maana kwao uwezo upo hata mume alimsomesha yeye .wahehe ni noma aisee kamama kafupii kanenee keusi kamezira kabisa na kabla ya harusi aliletwa akawa anatibiwa aga khan harusi imekaribia akalilia kurudishwa iringa hataki kijana amuoe huyo dada
 
Hako katakufa kwa roho mbaya tu. Ni kukapotezea tu maana hata ukasaidieje hakatoridhika.
 
kuna dada mmoja kaolewa jmosi kaishi na mume wake miaka 8 wana watoto 2 mama mkwe kagoma kuja kwenye harusi wakati huyo dada ndo anamsaidia maana kwao uwezo upo hata mume alimsomesha yeye .wahehe ni noma aisee kamama kafupii kanenee keusi kamezira kabisa na kabla ya harusi aliletwa akawa anatibiwa aga khan harusi imekaribia akalilia kurudishwa iringa hataki kijana amuoe huyo dada
Inaelekea na wewe unamchukia huyo mama
 
Ilikuwa zamani hiyo

Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe

kila mmoja awe anajali wa kwake

kwani ni mama yangu yule?

Ndoa zenyewe za siku hizi ...

Bora ujali tu mama yako kwanza!!

sorry!!
Ubinafsi unaua ndoa nyingi. Huu mtazamo wako ni kwa mama mkwe mkorofi kupindukia lakini kama yuko fair si haki kabisa.
 
Back
Top Bottom