Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,230
Kumbe watani wa jadi
ni jirani yangu hapa home
Kumbe watani wa jadi
hahahahaha hapo simoooooooooo asante kwa hojaNani kakwambia kuna mbongo yuko huru
hakuna uhuru
Labda uoga tu!!
Ndoa bila uhuru sio ndoa hio
hahahahaha hapo simoooooooooo asante kwa hoja
ha ha ha ha hasira za mkizi hzo mwache tu ataelwa nikirudKaondoka amekasirika
naona anaenda kuchukua ile sufuria yako mpya aitie misumari
bora uje haraka!!
ha ha ha ha hasira za mkizi hzo mwache tu ataelwa nikirud
ha ha ha ha wewe wangu tu ntakupa maneno matamu mwenyewe utanipa mpka ukoko. tatzo mama halima hachukui kwa mkopo analipa acha nimpe zote.maana yake leo hupiki?
Sufuria zote si ulimuuzia mama halima jana?
au utakuja tena kujichekesha nikishapika
leo sikupi!!
Mimi kuoa janamke la hivi hamna tuu...
Janamke lina roho mbaya, libinafsi kubabake...
Janamke pumbavv kabisa..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ndio Maana mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele....
Yaani wanawake wana akili ndogo kama za kuku...
Cheki janamke kama hili jamani...
Ptuuuuuuuuu (hadi kinyaa)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
ACHA UNYAMAIlikuwa zamani hiyo
Siku hizi najificha then natuma Mpesa mwenyewe
kila mmoja awe anajali wa kwake
kwani ni mama yangu yule?
Ndoa zenyewe za siku hizi ...
Bora ujali tu mama yako kwanza!!
sorry!!
hata shetani hawezi fanya huo upuuzi.Ndo hapo inapotakiwa kupata mwenza mwenye hofu ya Mungu.
mama mkwe wako hajambo lakini?sasa utafanyaje kama wanyama ndio binadamu
mi mwenyewe natafutaMhh nitafutie basi
sina
Ila ndiyo dunia, kuishi kwingi kuona mengi.hata shetani hawezi fanya huo upuuzi.
mi mwenyewe natafuta
ila tatizo mama mkwe wengine nao akili mbovu wanatesa sanaIla ndiyo dunia, kuishi kwingi kuona mengi.
Ningekua mimi ningemshusha thamani huyo mwanamke kuanzia siku hiyo.