Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,312
Mbona binti yao namtuza vizuri tu, anataka kufanya hivo ili iweje sasa?Unapigwa Surrat~Zubaa Punde Utakuwa Mjumbe Ndiyo
Kuna mtu ameniambia hivo pia kua mama mkwe anataka ani zoom nyotaNiliwahi kusoma sehemu kwamba huwa wanatafuta kuangalia nyota yako na mpenzi wako kama zinaendana, au kupigwa ndumba moja matata sana[emoji41]
Mkoa wa Ruvuma. Huyu mama ni MdendeuleKabila gani ukweni
Hapo cha kufanya panga uende mapema ukajitambulishe, usiwape majinaMkoa wa Ruvuma. Huyu mama ni Mdendeule
Mimi siogopi maana namtumainia Mungu. Mwanzo nilikua na plan za kumtumia mama mkwe nauli binti yake atakapokaribia kujifungua aje . Kwa hili la leo mmh nimegairi mtoto wangu si atakua anaoga madawa tu.Wewe chukulia kawaida haya maisha ukianza kufuatikia Kila kitu utapata shida tu kama mama kijacho mpo naye poa mengine ni ya ziada.
kwa wandendeule kamchukue mkeo fasta kabla hajaanza kuoga dawa za msumbijiMimi siogopi maana namtumainia Mungu. Mwanzo nilikua na plan za kumtumia mama mkwe nauli binti yake atakapokaribia kujifungua aje . Kwa hili la leo mmh nimegairi mtoto wangu si atakua anaoga madawa tu.
Nategemea kwenda January 2023Hapo cha kufanya panga uende mapema ukajitambulishe, usiwape majina
kwanza unaelewa maana ya jina Wandendeule?Mkoa wa Ruvuma. Huyu mama ni Mdendeule
Hapana sielewi.Maana yake nini?kwanza unaelewa maana ya jina Wandendeule?
Hata mimi nimehisi hivo, maana hata yeye ni singo mama.[emoji2]peleka posa haraka.mama mkwe anahofia mwanae kuwa singo mama
maana yake ni UTANIFANYA NINIHapana sielewi.Maana yake nini?