Mama mkwe anang'ata watoto hadi watoke damu

Huyu ni mwingine ama ni yuleyule story ake ililetwaga humu anang'ata wajukuu zake
 
Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.

Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake.

Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini Magharibi mwa nchi yetu kuwwleta watoto kwa Bibi yao mzaa Mama.
Vampire huyo. Wasalimie jamaa wa mbeya
IMG-20210614-WA0042.jpg
 
Bibi ukute ana Ngwengwe huyo
Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.

Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake.

Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini Magharibi mwa nchi yetu kuwwleta watoto kwa Bibi yao mzaa Mama.

Likizo ni njema sana kwangu binafsi na watoto, tumepata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii, mbuga za wanyama Ruaha, Udzungwa, Mikumi, Selous na mbuga pekee ya mimea nchini .

Pia tulitembelea daraja la Mungu likilopo mto Kiwira, kijungu, ziwa Ngosi, ziwa Kisiba nk.

Baada ya mizunguko na vijana wangu pamoja na watoto wa ndugu wengine tukaenda kwa Bibi yao, nikawaacha hapo Mimi nikajisogeza mjini ili niwaache na Bibi yao huku wakijifunza kazi za shamba, kuteka maji, kuokota kuni, na kadhalika.

Niliwaachia simu ili kurahisisha mawasiliano. Basi juzi first born akaniambia alivunja glass, Bibi yake akampiga sana kisha akamuuma hadi akatoka damu. Nilistaajabu sana.

Nikampigia mama watoto wangu kumuelezea, akaniambia hata wao walipokuwa wadogo wameng'atwa sana na mama yao, yaani Yuko hivyo.

Jamani Wakushi wenzangu je hi ni Hali ya kawaida au ndio u vampire

Jamani Wakushi wenzangu je hi ni Hali ya kawaida au ndio u vampire wenyewe?
Wapake mavi ya kuku bibi aoze meno.......... hahahahahaahah
 
Yemwenyewe anasemaje

Similar Discussions

Back
Top Bottom