Ukiona hivyo ujuwe kwamba mama mkwe wako ndio mama mwenye nyumba ndani ya familia yenu.
Hapa namaanisha kwamba mumeo alikuoa kwasababu wakati wake wakuoa ulikuwa umefika, lakini kaa ukitambuwa kwamba wewe hauna mamlaka yeyote kwa mume wako na familia yenu.
Haya, anza kujiongeza mkuu usije ukakumbuka shuka pakiwa pamepambazuka.