Mama mkwe analazimisha mwanangu nlompata leo jina aitwe ATULIPUKILE MWAKATANKI

Masweeter

Masweeter

Senior Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
196
Points
1,000
Masweeter

Masweeter

Senior Member
Joined Aug 30, 2017
196 1,000
Kisa wanyakyusa ubatiza kutokana na tukio, kisa leo ajali ya Lori, kuwa mtoto tumuite ATULIPUKILE MWAKATANKI wakati nataka aitwe Samia
Mme kamsikiliza,
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,936
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,936 2,000
Ukiona hivyo ujuwe kwamba mama mkwe wako ndio mama mwenye nyumba ndani ya familia yenu.
Hapa namaanisha kwamba mumeo alikuoa kwasababu wakati wake wakuoa ulikuwa umefika, lakini kaa ukitambuwa kwamba wewe hauna mamlaka yeyote kwa mume wako na familia yenu.
Haya, anza kujiongeza mkuu usije ukakumbuka shuka pakiwa pamepambazuka.
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
4,722
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
4,722 2,000
So tukio limekupa mtoto au tukio limekupa kumbukumbu ya jina kupitia mtoto? ATULIPIKIWE MWAKAMOTO.
 
mama rei

mama rei

Senior Member
Joined
Jul 31, 2019
Messages
120
Points
250
mama rei

mama rei

Senior Member
Joined Jul 31, 2019
120 250
hahaha ila kugombea jina nayo si nzuri mwachie tu aitwe hivyo wa pili utamwita samia
 
kiLimIlire

kiLimIlire

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Messages
256
Points
500
kiLimIlire

kiLimIlire

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2012
256 500
Na wewe jibadilishe jina uwe Mwakaongo Atudanganyire
 
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2018
Messages
426
Points
1,000
mwakajingatky

mwakajingatky

JF-Expert Member
Joined May 30, 2018
426 1,000
acha mzaha wa namna hii...
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
27,298
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
27,298 2,000
Mwambie azae wake
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
6,897
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
6,897 2,000
umefikiriaa ukaona ufanye mzaha kwenye vifo vya wenzako watch it huijui kesho yako
So sad, watu wengine wanadhani kila tukio ni lakufanyia mzaha
 

Forum statistics

Threads 1,326,680
Members 509,566
Posts 32,230,803
Top