Mama mkwe analazimisha mwanangu nlompata leo jina aitwe ATULIPUKILE MWAKATANKI

Masweeter

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
206
570
Kisa wanyakyusa ubatiza kutokana na tukio, kisa leo ajali ya Lori, kuwa mtoto tumuite ATULIPUKILE MWAKATANKI wakati nataka aitwe Samia
Mme kamsikiliza,
 
Ukiona hivyo ujuwe kwamba mama mkwe wako ndio mama mwenye nyumba ndani ya familia yenu.
Hapa namaanisha kwamba mumeo alikuoa kwasababu wakati wake wakuoa ulikuwa umefika, lakini kaa ukitambuwa kwamba wewe hauna mamlaka yeyote kwa mume wako na familia yenu.
Haya, anza kujiongeza mkuu usije ukakumbuka shuka pakiwa pamepambazuka.
 
So tukio limekupa mtoto au tukio limekupa kumbukumbu ya jina kupitia mtoto? ATULIPIKIWE MWAKAMOTO.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom