Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,980
Mwambie ukweli mkuu, mwanae akijua ni hatari.
Akhsante mkuuHuyo Mama ana visa vyake visivyoeleweka...Kuwa makini mkuu anakutega..
Ikibidi muelezee ukweli kabisa ilimradi usimame kwenye ukweli...ONDOA HOFU
Ok mkuu ila usife moyoKwa hatua tatzo lilipofikia think already had a no point of return absolutely.... Japo bdo nazd kuomba mungu aendelee kunisaidia
Nitafanya hivyo mkuuMwambie ukweli mkuu, mwanae akijua ni hatari.
Hatari hiyo mkuu kisu cha ngaribaKula kuku na mayai yake. Mkaange kabisa.
Mtihani mkubwakula kuku na mayai yake tu
Ushauri wako nitaufanyia kaziMmh nenda long weekend Mzee baba
Mmhh hejengi mkuu unabomoa sasaSisi wanaume tunahuruma sana, mkweo anahitaji kutolewa wadudu wanamuwasha,we bamiza 2.
Si kwake bwanahahaha![]()
AmeenMungu aepushie mbali sana
Nitafanya kama ulivyoshauriJamani ongea na wife ampe nauli asepe
Fikra na mtazamo ndio unaona unacho kiona aksante kwa mchango wakoKwa hyo umeamua utudanganye sio??
Sawa mkuuUamuzi uko juu yako,kikubwa ni kumuogopa Mungu wako