madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
- Thread starter
- #21
Habari nyingine mkuukula kuku na mayai yake tu
Habari nyingine mkuukula kuku na mayai yake tu
Mahala pake kabsaa sema hizo size zetu nazo kila siku gereji![]()
inawezekana kabisaa,na huyo wife angelikua ni in-law wa mume kwa mwanae !! Hii ndio taabu ya neno "mapenzi hayachagui umri" wanaume oeni size zenu
Mkuu tamaa kvp? Au hujamwelewaMkuu acha tamaa
fikra zako ndizo zitakuponya.
Nyongeza, akikaa kihasara hivyo sebuleni, mwambie mke wako (binti yake), kwa lugha ya staha, aende kumsetri mama yake vizuri. Kwa mfano, "mke wangu mama sebuleni kajisahau, kamsaidie"!Mkaushie tu, pia kuwa busy na majukumu ya kikazi , Chelewa kurudi nyumbani na ukirudi jipumzishe chumbani,
Fanya hivyo mpaka atakapo ondoka.
Soma vizuri mkuu utaona mkuu fikra zake tayari zinaruhusu tamaa kumuingia.Mkuu tamaa kvp? Au hujamwelewa
Binafs.. Mungu akusaidie uepuke io laana mana bnafs kilichonipata nahisi ndo mana sioi coz dahh.... Ni the same kdg n isue yako mkuu, ila nakusihi epuka io hali, mungu akusaidie ukaweze kuiepuka!Salaam wadau,
Namshukuru mungu pamoja na umri kwenda lakini kwa kuwa bado nipo town najiita babu mbishi,
Bahati nyingine mke wangu amepata mtoto na tamu zaidi mtoto wangu mwingine niliezaa na mke wangu wa kwanza huko tanga ameniletea zawadi ya gari,toka huko falme za kiarabu japo ni kama kile cha lodi lofa lakini naamini kuna wengineo hamjamiliki
Jamani kubwa lilionikuta mpaka nimeamua kuwafikishia ndugu zanguni ni huyu mama mkwe,mke wangu bado ni msichana mbichi kabisa kamaliza form six nikamuoa,na mama ya mke wangu nae bado anadai yaani wakisimama na mwanawe kama mtu na dada yake,
Sasa tangu aje hapa huyu mama mkwe na mtoto wangu nae yupo hapa nyumbani,simuelewi huyu mkwe wangu kwanza hupita na khanga moja tu kwenda kuoga baadae akitoka huko kuoga na khanga imelowa na mbaya zaidi amejaliwa kumshinda mwanawe ma-ashallah,
Akitoka hujilaza na mkeka hapa sitting room na huichukua miguu yake na kuikunja nne huku amelala chali majipaja yote nje muda mwengine kifudifudi ikifikia hapo mimi huwa naondoka ,na yule mtoto wangu mpaka ameniuliza kuhusu ule uzushi wa bibi yake wa kufikia,
Sasa kubwa na la kushangaza ni juzi kati tumekwenda madukani kununua nguo za watoto ,mama mkwe amenga'ng'ania nimchagulie chupi, nimnunulie mpaka aibu,hadi dada muuza nguo ameshangaa na kuniuliza nani wangu kwa vile alivyokuwa analalamika ,jibu lake ni kuwa cha ajabu ni nini,neno lake la mwisho kama mimi sitaki basi huyu mtoto wangu jesse amchagulie mtoto akaona uchuro akajikataa,
Kwa kuwa ameona hii gari analazimisha kutolewa out yaani naona kero sasa na halali mpaka yeye ndio anifungulie mlango,nafikiria nimweleze mwanawe ili ampe nauli aondoke lakini naona kama nitawagombanisha na pia nafikiria labda,nimwambie ukweli tu mama mkwe lakini sina hakika nitaanzaje.
Jamani nimemchoka huyu mama mkwe nimfanyaje mwanangu kaamua kwenda kwa mama yake baada ya vituko kuzidi
Shukrani mkuu ushauri wa maana kabisaNyongeza, akikaa kihasara hivyo sebuleni, mwambie mke wako (binti yake), kwa lugha ya staha, aende kumsetri mama yake vizuri. Kwa mfano, "mke wangu mama sebuleni kajisahau, kamsaidie"!
Dah pole sana na wewe mkuu sema usiache we rekebisha tu itakaa sawaBinafs.. Mungu akusaidie uepuke io laana mana bnafs kilichonipata nahisi ndo mana sioi coz dahh.... Ni the same kdg n isue yako mkuu, ila nakusihi epuka io hali, mungu akusaidie ukaweze kuiepuka!
Sasa nitamtamani vepee mama mzaa usingiziVp we unamtamani
Kisa kasema *bdo anadai* ndyo mana umehc anaingiwa n tamaa?... Kwan io c amewasilisha tu vile mtu jnc alivo kimuonekano mkuu?Soma vizuri mkuu utaona mkuu fikra zake tayari zinaruhusu tamaa kumuingia.
Hapo ndipo atahalibu kila kitu
Hizi novels za kusimuliana mchana ni shidaInaelekea kwa umri ulionao mwenza alitakiwa awe huyo mother in law
naunga mkono hojaMkaushie tu, pia kuwa busy na majukumu ya kikazi , Chelewa kurudi nyumbani na ukirudi jipumzishe chumbani,
Fanya hivyo mpaka atakapo ondoka.
Kwa hatua tatzo lilipofikia think already had a no point of return absolutely.... Japo bdo nazd kuomba mungu aendelee kunisaidiaDah pole sana na wewe mkuu sema usiache we rekebisha tu itakaa sawa
Napenda sana hekima na busara zako za kwa Mtogole.Inaelekea kwa umri ulionao mwenza alitakiwa awe huyo mother in law
Sasa hiyo ni dawa ya jeuri ni kiburiNa wewe uwe unapita uchi