Mama mjamzito na daktari...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
MJAMZITO alikwenda Hospital akakutana na Daktari aliyegoma. Mambo yakawa hivi:

Mjamzito: Dokta Mtoto hachezi Tumboni tangu juzi nifanyeje?

Daktari: Meza Kitenesi na Filimbi,ukiona bado hachezi meza kadi Nyekundu atoke nje.
 
Back
Top Bottom