duh! kweli kisicho riziki hakiliki, yule binti aliyekuzimika humu umeshamtimizia haja yake ya moyo?
Au ndo umeleta hii sredi ili ajue kuna foleni aongeze bidii? Ngoja nimwite aje huku
kemea kwa jina la yesu!
Mkuu ulokole si dhehebu.mlokole aisee
basi heri nibadili dini
mi nachukia maswali rahisi kama haya..uje hapa na hadidu za rejea na reference jinsi mama mchubgaji alivokuwa anatweta..sio unakuja na ngonjera apa
astaghaffhlah!
Mkuu mbona unaonekana kama huko aire aire?mpentecoste bhana hii sio story
nafsi inanisuta ina nina hamu
Mkuu una postu 11,000+ kwasababu hii?Ahahaaah!!
I thought so too,hata anavyojibu maswali utaona kabisa anazuga tu.Ndo shida sasa hii ya chit chat kwa watu tuliozoea kukata issues!kumbe ni excellent hamna kitu hapo hii katunga kabisaaa...
nilikuwa mumini mzuri,na baada ya ibada alikuwa na mazoea kunipa chakula cha roho
Sababu ipi tena? Nalog offMkuu una postu 11,000+ kwasababu hii?
duh! kweli kisicho riziki hakiliki, yule binti aliyekuzimika humu umeshamtimizia haja yake ya moyo?
Au ndo umeleta hii sredi ili ajue kuna foleni aongeze bidii? Ngoja nimwite aje huku
Jitahidi kumtafuta utampata tu. Nalog offSina mume hapa
Jitahidi kumtafuta utampata tu. Nalog off