jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,378
- 25,468
Mazingira hayo magumu ni yapi?sio kwa vile nimetoswa na wanakwaya,ila mama pastor ananiweka kwenye mazingira magumu
Kuwa a bit more specific kama unataka msaada wa maoni?
Ni uvaaji huko kanisani ama anakukonyeza kama Rose1980?Lol!
More details please.