Mama mchungaji ananitega

Mama mchungaji ananitega

sijui nitimize tamaa ya mwili?dah ila kimoyomoyo kuna roho inaniambia nisitende dhambi.
sijui nichague uamuzi upi

Kama dini yako inakataza kuzini kwanini ufanye hivyo?
 
sijui nitimize tamaa ya mwili?dah ila kimoyomoyo kuna roho inaniambia nisitende dhambi.
sijui nichague uamuzi upi
Hama kanisa,

Kama mama mchungaji ndo hivyo,basi hilo kanisa tayari lina walakini.

Na wewe kuendelea kuabudu hapo tayari una walakini kwenye imani yako kwasababu kama ungekuwa na imani na mchungaji wako,basi unge tafuta namna ya kumweleza,ikishindikana uhame kanisa.

BTW hakuna wanakwaya?
 
wanakwaya wapo ila wananitosa kisa sijui kucheza stepu za kwaya
 
Kwahiyo kwasababu wanakwaya wamekutosa sasa ungependelea mama mchungaji?

Kwasababu tafsiri ya kanisa ni pana,basi nakushauri meguwa.
 
sio kwa vile nimetoswa na wanakwaya,ila mama pastor ananiweka kwenye mazingira magumu
 
Aziniye na mwanamke hana akili mpotezee huyo mama wa mtumishi
 
Back
Top Bottom