Mama Maria Nyerere awalipua mafisadi

Kama alivyosema Dilunga,

Hatuna culture ya analysis na meritocracy.Watu wanapeta ati tu kwa sababu ni wazee, si ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo haya?

Yaani hii si ni sawa na Kikwete anaposema "Mwachieni Mzee apumzike (Mkapa)". Despite ufisadi wake wote.

Utajifanyaje unapinga ufisadi on the one hand, na kupinga analysis on the other? Tabia ya kupinga analysis na kwenda na traditions zisizo question kitu yenyewe ni ufisadi. Kutoruhusu Mama Maria abanwe mbavu kwenyewe ni ufisadi, halafu tunamsakama mtu kwa ku analyse maneno ya Mama Maria period, bila hata ya kuyachambua maneno yake, kama vile huyo Mama Maria ni Pope au Maria Mama yake Yesu, hata hao kina Papa, Maria mama wa Yesu na hata Mungu mwenyewe wanajadilika hapa.

Hatuwezi ku achieve greatness kama hatutakumbatia analysis. Hatuwezi kuendelea kisiasa wala kiuchumi kama hatujakumbatia analysis.

From the above accounts it is clear that Mama Maria is incapable of articulating her thoughts coherently, and in the interest of clarity, nobody should be faulted for stating that.

The issue here seems to be many have that "If you are not with us on any issue you are against us on every issue" approach, a terrible one dimensional mindset.

One can fault Mama Maria, who in her heart of hearts could very well be anti-ufisadi -her incoherence regardless- and also be against ufisadi.

One could fault Mama Maria as far as her organization of ideas and speech is concerned, and still maintain a very respectful outlook towards elders. This is constructive criticism, a very necessary element in progress.

We have to look at ourselves as a nation and figure out where are we going wrong, what are we not doing right.One of the things we are not doing right is analysis and communication, it is as if we Tanzanians have a very different, almost telepathic way of communicating, and that one can say one thing and guarantee that the audience will understand the other, or in many cases, one may need not even finish sentences but the audience will understand what is meant.

But how organized and realiable is that? The way we think and talk plays a big role in determining our entire state of affairs as a nation.Unless we start to discipline our thoughts and speech, we can never squarely attempt to discipline our actions.There is a direct relationship that cannot be ignored however telepathic we pretend to be.
 
Last edited:
Kha, haya ndio matatizo ya kusoma kilichoripotiwa badala ya kusikiliza kilichosemwa!
 
Kha, haya ndio matatizo ya kusoma kilichoripotiwa badala ya kusikiliza kilichosemwa!

"Ukipata pesa, usikimbilie kwenda sehemu kama Zanzibar au sijui wapi kutafuta ukimwi, wape na hawa wengine ili wajikwamue na umaskini kama anavyofanya Mengi,"

Haya maneno kayasema huyu mama au wamemuwekea quotations marks za bure tu? Msitake kutufanya tunaangalia reported speech wakati article ina direct quotations hapa.

Hivi hayo ni maneno ya mtu mwenye analysis? Haya ni maneno ya mtu anayeweza ku articulate mawazo yake?

Ndugu zetu wa Zanzibar wakikasirika kwamba Mama Maria kawatukana kwamba kwao ndiyo source ya ukimwi Tanzania tutasema wanafanya vibaya?

Ashukuru as yellow as our journalism is, tabloidism haijafika kiwango cha maneno yake kuwa twisted katika headline ambayo ingesema "Msituletee ukimwi wa Zanzibar - Mama Maria" and the context would still be accurate, basing on what she said.

Huyu mama mume wake muasisi wa muungano, anatoa subliminary message gani kuhusu anavyouenzi muungano?

Muungano wenyewe unakuwa goigoi day by day, huyu mama akija kuwa the last straw that broke the camels back na vitabu vya historia vikirekodi maneno haya kama incindeary legacy yake itakuwaje?

Hatujiulizi maswali kama haya, ndiyo maana nasema hamna analysis. Hamna kaulimtu!
 
Last edited:
Mchukia ufisadi anasema nchi imejaa ufisadi, na tatizo letu kubwa ni ufisadi, na nchi inanuka ufisadi,

Kweli kabisa hadi imemkuna Mama !

lakini kiongozi wa nchi anafanya kazi nzuri!?! Yuko okay kweli huyu Mama?

Mama yuko okay labda mwenye matatizo ni wewe Dilunga - kuna kitu kinaitwa negatice praise. Kwa JK anayedai hana ubia na mafisadi huku amezungukwa na mafisadi na uwezo wa kuwashughulikia anao, sifa aliyotoa Mama ndio mahala pake - especially so if you are not of one dimensional mind !

Kwa nini, eti kwa sababu Kikwete karuhusu magazeti yaandike kuhusu mafisadi!

JK anadai anachukia ufisadi lakini wakati ufisadi unashamiri under his watch na magazeti yanazidi kuanika hali hiyo, Mama anamfagilia kwa kuruhusu yafanye hivyo - get the point ? She is just pointing out how dumb and ridiculous the regime is.

Na watu wanashangilia, eti mwache bibi aongee anavyotaka.

Those of one dimensional mind will definitely fail to observe the paradox - lakini wengine tutashangilia na kumtaka Mama azidi kupigilia nyundo misumari ya mwisho kwenye jeneza - big up Mama.

Bibi kasimama jukwaani ku address national issues, ukubali aongee pumba kwa vile ni mtu mzima?

Well it all depends umevaa miwani ya rangi gani na umesimama wapi ! Mama kaita koleo koleo bila kumung'unya maneno - ufisadi upo na unaenea kila mahali na wenye rungu wanajibaragaza na wamebakia kulialia tu, Mama anmeshindwa kuvumilia na anauliza kulikoni ?
 
Mama yuko okay labda mwenye matatizo ni wewe Dilunga - kuna kitu kinaitwa negatice praise. Kwa JK anayedai hana ubia na mafisadi huku amezungukwa na mafisadi na uwezo wa kuwashughulikia anao, sifa aliyotoa Mama ndio mahala pake - especially so if you are not of one dimensional mind !

I rest my case, ndiyo communication yetu hiyo bongo.Hamna kitu direct.

Wengine watasema mama alikuwa ana appease, wengine watasema ile ilkuwa an eminent critique, ili mradi bongo hamna mtu unayeweza kukaa naye chini akakupa story straight, kila mtu msanii.Mpaka vita dhidi ya ufisadi imetekwa na mafisadi.Huyo Mengi mwenyewe aliyemuweka mama katika hiyo platform fisadi, halafu mama anataka ku front kukemea ufisadi!

Halafu baada ya hyperbole zote hizo na apologism nene mtu eti ana audacity ya kumalizia hivi

Well it all depends umevaa miwani ya rangi gani na umesimama wapi ! Mama kaita koleo koleo bila kumung'unya maneno - ufisadi upo na unaenea kila mahali na wenye rungu wanajibaragaza na wamebakia kulialia tu, Mama anmeshindwa kuvumilia na anauliza kulikoni ?
 
I rest my case, ndiyo communication yetu hiyo bongo.Hamna kitu direct.

Wengine watasema mama alikuwa ana appease, wengine watasema ile ilkuwa an eminent critique, ili mradi bongo hamna mtu unayeweza kukaa naye chini akakupa story straight, kila mtu msanii.Mpaka vita dhidi ya ufisadi imetekwa na mafisadi.Huyo Mengi mwenyewe aliyemuweka mama katika hiyo platform fisadi, halafu mama anataka ku front kukemea ufisadi!

Halafu baada ya hyperbole zote hizo na apologism nene mtu eti ana audacity ya kumalizia hivi

Ni kama kijana kashika mkia kwenye matokeo ya mtihani, unamsifia kwa kufanya vizuri. Ndio JK huyo kwenye vita dhidi ya ufisadi.
 
Ni kama kijana kashika mkia kwenye matokeo ya mtihani, unamsifia kwa kufanya vizuri. Ndio JK huyo kwenye vita dhidi ya ufisadi.

The consistency of your inconsistency is quite amazing.

So what is it, huyu mama anaongea katika ma hyperbole au anaita a spade a spade?
 
So what is it, huyu mama anaongea katika ma hyperbole au anaita a spade a spade?

Blueray, kuna ka experiment muhimu sana kanaendelea, I hope utaka notice. Angalia jinsi the audience ya hawa wasemaji wetu wanavyo jaribu ku make sense out of the ambiguity ya maneno ya viongozi. Hebu tuone, labda mimi na wewe ndio hatujui jinsi ya kuwaelewa hawa viongozi.

I mean, Mag3 au huyo Campanero hapo juu ni moja ya serious commentators hapa, akiandika basi anacho cha kusema, cha maana, lazima uwasome. Sasa angalia watu mahiri kama hao wanavyo jaribu make sense out of nonsense za viongozi, labda tunajifunga kitu. Je huwa kweli wanawaelewa?

So far Mag3 ana struggle. Kasema, nilivyo muelewa, anaonekana kusema Mama Nyerere anampiga madongo Kikwete kwa dhikaha za kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, kwamba regime yake ni kituko sana kiasi kwamba anaruhusu magazeti yamtandike na ufisai wao. Halafu hapo hapo anasema Mama Nyerere ame call a spade a spade. Ushaona hapo? Nataka kuona kama kweli wao wanawaelewa hawa wasemaji wetu wanaowapigia makofi. Hebu Blueray jaribu kufuatilia tafadhali.
 
Last edited:
Dillunga fuatilia posting yako, hayo yote unayo mcritisize Mama Nyerere ni Mengi ameyasema except hilo la UKIMWI Zanzibar na issue ya kutembea na mkongojo,mengine yote kuhusu JK na uhuru wa vyombo vya habari ni Mr Mengi amesema,just to let you know,maybe itabadilsha mjadala kidogo.
 
Mkuu Dilunga fuata huu mtiririko.

Duuuh.....!
Mods ingekuwa vema mngeweka na kitufe cha kulaani post i.e the opposite of thanks.........!

A very innocent request but then

Dilunga,
I knew one dimensional minds couldn't handle that.

This was low by any standard - but then nit-picking and making mountains out of mole hills is becoming too much of a habit within some circles for some peculiar reasons very hard to contemplate. Dilunga for example happens to harbour very serious reservations about the competence of our news media. But when suddenly he makes an about turn and does not first question the authenticity of the report but turns the heat on the Old Lady, pouring his vitriol on her, one starts to wonder. Is it about the report or about who made it - this is not the Dilunga we know. Unless one has an axe to grind, Mama labeled the situation for what it is and I quote:-
Siku zote nimekuwa nikijiuliza, kwa nini Watanzania ni maskini wakati wenzetu hasa wale wanaopitiwa na mstari ule wa Ikweta, wanapata maendeleo haraka, hasa zile nchi zenye hali ya hewa nzuri? Tatizo letu ni ufisadi. Rushwa hii itaisha lini?
This was a bold statement by any standard from an 80 year old and one who is not an active or practising politician. I rest my case, I am out.
 
Dilunga,

I knew one dimensional minds couldn't handle that.

Narudia tena......mods fanyeni fanyeni tuwekea kitufe cha kinyume ya Thanks!

Mtu kama Dilunga anaonekana kabisa anachuki binafsi na yule Grandma..... nasema hivyo kwa kuwa mambo aliyoyanukuu kny post yake ya kwanza kuhusu ufisadi na kumsifu JK na vyombo vy habari hakuyasema bibi wa watu kayasema Mengi....bibi kataja ufisadi yes, but si kumsifia JK na vyombo vya habari!Kataja ukimwi na Zanzibar yes, lakini hakusema eti Zanzibar kuna ukimwi i.e source ya ukimwi.....Zanzibar ni tourist Island watu huenda vacation kule na wapenzi wao....so message ya bibi ilikuwa ni kwamba watu wapunguze hizo starehe wa changie maendeleo!

Nashangaa wamekuja watu wenye multiple dimensional minds hapa kwanza wanamcritisize bibi wa watu kwa mambo ambayo hakuongea isipokuwa la ukimwi!

Dilunga ni vizuri ungesoma vizuri taarifa ile kabla hujamshushia bibi yule criticism which she did not deceive......labda Mengi ndo alistahili kukosolewa vile!
 
hivi mtu kama mengi akisema mzee wa kaya ni fisadi nini kitamtokea???

kwa nini wakina dr slaa na wanasiasa wengine wanawaita watu mafisadi lakini mengi akiwaita inakuwa soooooo
Ndugu,kumbuka Mengi ni mfanya biashara na akina Slaa ni wanasiasa,kitu atakacho sema Mengi kina weza kuchukuliwa kwa upana zaidi kuliko atakacho sema DR.Slaa kwani Slaa akisema watu wanaweza kudhani ni siasa tu.
 
Back
Top Bottom