faloyce2001
Member
- Feb 18, 2010
- 24
- 12
jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.sasa lipi baya hapa?
Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?
kutokulipa mishahara
waalimu lakini si wamezoea kutolipwa?
Mume wangu ,nimetembea na nabii na mtume na baba-source- mwingira mke wa muumini
Walokole wa siku hizi bwana!
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.
Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka pale kwa muda wa miaka miwili kisha akawarudisha makwao. Kwa sasa anataka kufanya lile eneo kuwa chuo kikuu cha st Marys.
Wadau hebu niambieni kuna chembe ya Mungu ndani ya mama huyu?
Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?
sasa hamtaki chuo kianzisshwe jamani? si bora huyo kuliko hayo mafisadi yanaiba mabilioni yanaenda kuyahifadhi huko marekani? lakini simtetei kivile.
Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?
Walokole wa siku hizi bwana!