Mama Lowasa Afanya Tafrija ya Valentino Dei na Yatima

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Apewa airtime ya dakika 5 TBC1.

Wenye akili zetu tunajua tu kama Mzee Mzima keshaanza kampeni za Baba na Mama mapemaaaa. Maana siku hizi nasikia Urais ni suala la kifamilia....si suala la Watanzania tena kama tulivozoea.
 
Umbeya tu mwanaume mzima na wivu,ulitaka apewe nani dakika tano?mbona hujasema ya msingi aliyoongea,wewe umetoa nini leo?
 
Wasubiri waone moto wetu Misri cha mtoto, hivi mke wa kila mbunge anapewa coverage kwenye tv ya Taifa?!! wewe Lowassa na mkeo endeleeni kujidanganya mmetuibia lakini mnadhani tumelala subirini muone moto wa wananchi wenye hasira
 
mpo wengi tunawajua ndio maana unasema Mkuu nganangwa ni mmbea, kama mnajua umbea ni mbaya kwa wanaume mbona mnasema haki sawa kwa wote?!! sasa kama ni hivo inakuuma nini mwanaume kuwa mmbeya?!! nakuuliza wewe unaejiita DYSLEXIA!! Siku zenu za kuibia hii nchi zinahesabika kabisa wait u see.
 
Umbeya tu mwanaume mzima na wivu,ulitaka apewe nani dakika tano?mbona hujasema ya msingi aliyoongea,wewe umetoa nini leo?
Wivu watu kusema kweli kuwa yeye na familia yake mafisadi na wanataka kutufanya watanzania mabwege eti kutuonyesha kuwa yeye msafi. CCM hawajui hasira za wananchi kwa huyu jamaa watakapomteua ndio utajua the beginning of the end of CCM. Stay tuned wacha sie wengine tule :popcorn:
 
EL alianza kampeni toka Bunge la 9 lilipovunjwa. Tido alihoji ili kusafisha.....richmond.

Kazi tunayo kama katiba na nec haitabadilika tumeliwa.
 
Apewa airtime ya dakika 5 TBC1.

Wenye akili zetu tunajua tu kama Mzee Mzima keshaanza kampeni za Baba na Mama mapemaaaa. Maana siku hizi nasikia Urais ni suala la kifamilia....si suala la Watanzania tena kama tulivozoea.
Waziri mkuu wake Chenge ashasafishwa, tusubiri tuone vituko vya karne!!!!
 
HATUDANGANYIKI! Waendelee kupoteza hela zao tu, wataendelea kuishia katika ubunge tu na karibia atashuka katika udiwani!
 
Back
Top Bottom