Mama: Leo Utala Stoo Alah!!!

Mama: Leo Utala Stoo Alah!!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Mama na Mwana
MTOTO: Mbona jogoo humkimbiza kuku jike?
MAMA: Kadokoa chakula chake.
MTOTO: Mbona beberu humdandia mbuzi jike?
MAMA: Kachoka kutembea anataka kubebwa.
MTOTO: Kwa hiyo baba anavyopanda juu yako
usiku anajifunza kutembea kama mjusi?
MAMA: pumbavu sana, leo utalala Stoo kadadadeki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom