Mama Kilango awa Ngole wa Wasukuma

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,970
11,376
Mama Kilango azidi kung'ara Shinyanga asimikwa kuwa chifu wa kike wa kisukuma (Ngole).

Machifu wengine waliopata kusimikwa ni Mbowe, Lowassa na Chenge.

Hongera sana mama piga Kazi. Ngole wa mwisho alikuwa Ngole Hollo wa Misasi.
P1290078.JPG
 
Ndio maana nchi inaingia kwenye mablaa ya kila aina, utamsimikaje uchifu mtu wa kabila tofauti na lako? Huu ni mfumo wa kujipendekeza kwa watawala ambao una haribu mila na tamaduni.
Ni uchumia tumbo uliovuka mipaka kumsimika mtu ambaye mila,desturi na mizimu hata haina ukaribu nae.
 
Halafu huu utaratibu wa kufanya mila kuwa zawadi sijui umetoka wapi? hata yule balozi wa china nae alishafanywa chifu sijui ni nini hiki.
 
Ndio maana nchi inaingia kwenye mablaa ya kila aina, utamsimikaje uchifu mtu wa kabila tofauti na lako? Huu ni mfumo wa kujipendekeza kwa watawala ambao una haribu mila na tamaduni.
Ni kweli kabisa mkuu, maana hata kwetu mwanamke hawezi kuwa chifu.
 
Mama Kilango azidi kung'ara Shinyanga asimikwa kuwa chifu wa kike wa kisukuma (Ngole).

Machifu wengine waliopata kusimikwa ni Mbowe, Lowassa na Chenge.

Hongera sana mama piga Kazi. Ngole wa mwisho alikuwa Ngole Hollo wa Misasi.
P1290078.JPG

Kushinka hayo madudu ni rahisi sana. Tena ni kitendo cha muda mfupi lakini madhara yake yanakwenda hadi kizazi cha nne. Ajidanganye anapata sifa kumbe anavikwa misiba.
 
Wanayakumbatia yakianza kuwakumbatia wao, wanakimbilia kwa wachungaji kuombewa na kumlaani pepo wasiemjua.
 
Huyu mama wapare walimpiga chini ubunge kule Same kutokana na utapeli wake wa kisiasa halafu ndiyo anapewa uchifu! Laana hii.
 
Mama tumemkataa utendaji wake uchini wa kiwango ..ametuletea umaskini leo ..wasukuma wanamkaribisha mpaka chumbani
 
Mama Kilango azidi kung'ara Shinyanga asimikwa kuwa chifu wa kike wa kisukuma (Ngole).

Machifu wengine waliopata kusimikwa ni Mbowe, Lowassa na Chenge.

Hongera sana mama piga Kazi. Ngole wa mwisho alikuwa Ngole Hollo wa Misasi.
P1290078.JPG

aCHA UJINGA WEWE mWANAMKE HAJAWAHI KUTAWALA usukumani, usiongee usiyoyajua, utapata laaana.Mwanamke wa kisukuma aliyeolewa na chief ndiyo aliitwa ngole. Na watoto wa kike ndani ya familia ya kichief , watoto wao wa kiume ndiyo walipewa nafasi ya kuteuliwa kuwa warithi wa utawala iwapo babu yao angefariki.Nyamasaaaa
 
Back
Top Bottom