Mama kibosile 'ananitega' kazini

wanaume huwa hatunaga sifa yakujiuliza uliza Mara 2 pindi tunapotakwa aiseee labda huyo anayekutaka awe haja fit vigezo vya mwanamke unayemkubali ""

aache uwongo wake kabisaaa wakusema kuwa bado hajamla Huyo mmama "" wanaunme sis niwatu watamaa kama fisi wazee wa action cut ...usikute ameshamla huyo bimkubwa kitambo tu ila anaona noma kukwambia ...
wanaume akili zetu tunazijuaga wenyewe " tuna kulaga show kwanza then majuto huwaga ni baada ya tendo ""
 
Hivi Mr Miller unaongeaga eeeh?

Nakuonaga tu unanipa like huyo unapita kimya.πŸ˜›πŸ˜›
jf noma mkuu...ukiingia humu hata kama ulikuwa bubu baada ya muda fulani utaongea tu
 
kama unategwa si unase sasa unasubiri nini??
ila kumbuka ktk kupakua asali ujiandae pia kung'atwa na nyuki
 
Ni mama yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…